Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

algeria

  • Msimamo mmoja wa nchi 14 za Afrika wa kupinga utawala wa Israel kuwa mwanachama mtazamaji katika Umoja wa Afrika

    Msimamo mmoja wa nchi 14 za Afrika wa kupinga utawala wa Israel kuwa mwanachama mtazamaji katika Umoja wa Afrika

    Aug 01, 2021 02:15

    Kanali ya al-Waaqe' ya Algeria ilitangaza Jumamosi kuwa nchi hiyo imeanzisha rasmi mchakato wa kubuni kundi la Kiafrika litakalofuatilia kutenguliwa uamuzi wa kuruhusiwa utawala haramu wa Israel kuwa mwanachama mtazamaji katika Umoja wa Afrika AU, ili kulinda misingi ya umoja huo inayounga mkono taifa la Palestina.

  • Mwanajudo wa Algeria: Nimefurahi kuona hatua yangu imeikasirisha Israel

    Mwanajudo wa Algeria: Nimefurahi kuona hatua yangu imeikasirisha Israel

    Jul 30, 2021 03:32

    Fath-i Nurin, mwanamichezo wa mchezo wa Judo wa Algeria ambaye kwa sababu ya kutokubali kuutambua utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na kwa ajili kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina hakuwa tayari kupambana na mshindani kutoka utawala huo katika mashindano ya Olimpiki ya Tokyo 2020, amesema, amefurahia hatua yake hiyo kwa kuwa imeikasirisha Tel Aviv.

  • Algeria yalaani Israel kuteuliwa mwanachama mtazamaji wa Umoja wa Afrika

    Algeria yalaani Israel kuteuliwa mwanachama mtazamaji wa Umoja wa Afrika

    Jul 26, 2021 22:02

    Algeria imekosoa vikali hatua ya Umoja wa Afrika (AU) ya kuupa utawala wa Kizayuni wa Israel kibali cha kuwa mwanachama mtazamaji wa umoja huo.

  • Wanaharakati wa nchi 5 za kaskazini mwa Afrika: Kuna udharura wa kukabiliana na mwenendo wa kuanzisha uhusiano na Israel

    Wanaharakati wa nchi 5 za kaskazini mwa Afrika: Kuna udharura wa kukabiliana na mwenendo wa kuanzisha uhusiano na Israel

    Jul 25, 2021 22:09

    Wanaharakati kutoka nchi tano za kaskazini mwa Afrika ambazo ni Algeria, Tunisia, Morocco, Libya na Mauritania wamesisitiza udharura wa kukabiliana na hatua ya baadhi ya nchi ya kuanzisha uhusiano rasmi wa na utawala ghasibu wa Israel.

  • Mwanajudo wa Algeria ajitoa kwenye michezo ya Olimpiki akikataa kupambana na Mzayuni

    Mwanajudo wa Algeria ajitoa kwenye michezo ya Olimpiki akikataa kupambana na Mzayuni

    Jul 23, 2021 06:23

    Mwanamichezo wa mchezo wa Judo wa Algeria ameamua kujitoa kwenye michezo ya Olimpiki ya 2020 Tokyo inayofunguliwa rasmi leo katika mji mkuu huo wa Japan, ikiwa ni harakati ya kutangaza mshikamano na Palestina na kupinga kuanzishwa uhusiano na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.

  • Algeria yamwita nyumbani balozi wake wa Morocco kwa sababu ya mzozo wa Sahara Magharibi

    Algeria yamwita nyumbani balozi wake wa Morocco kwa sababu ya mzozo wa Sahara Magharibi

    Jul 18, 2021 22:59

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Algeria imemwita nyumbani balozi wake wa nchini Morocco na hata kudokeza kuwa itachukua hatua nyingine zaidi, ukiwa ni mkwaruzano mpya katika mvutano uliozuka baina ya majirani hao wawili wa Afrika Kaskazini juu ya eneo lenye mgogoro la Sahara Magharibi.

  • Rais wa Algeria asisitiza kuangamizwa utawala wa Kizayuni

    Rais wa Algeria asisitiza kuangamizwa utawala wa Kizayuni

    Jul 15, 2021 06:54

    Rais wa Algeria jana usiku alifanya mazungumzo ya simu na Mahmoud Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina na kusisitiza kuwa, nchi yake itaendelea kuwa bega kwa bega na Wapalestina hadi kuangamizwa maghasibu Wazayuni na kuundwa dola huru la Palestina.

  • Algeria: Hakuna amani bila ya kuundwa nchi huru ya Palestina

    Algeria: Hakuna amani bila ya kuundwa nchi huru ya Palestina

    Jul 09, 2021 02:29

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Algeria amesema kuwa taifa la Palestina linataka amani na kwamba jambo hilo halitatimia bila ya kuundwa nchi huru ya Palestina.

  • Ufaransa yakataa kutoa ramani za maeneo iliyofanyia majaribio ya mabomu ya nyuklia Algeria

    Ufaransa yakataa kutoa ramani za maeneo iliyofanyia majaribio ya mabomu ya nyuklia Algeria

    Jul 07, 2021 23:48

    Baada ya takribani miaka 60 tokea Ufaransa ihitimishe ukoloni na ukaliaji mabavu wa Algeria, taathira za jinai zake katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika zingali zinahisika na wakuu wa Paris hawako tayari kufidia hasara ambazo waliwasababishia Waalgeria.

  • Algeria: Ufaransa inakataa kutoa ramani ya maeneo yaliyotumiwa kwa majaribio ya nyuklia

    Algeria: Ufaransa inakataa kutoa ramani ya maeneo yaliyotumiwa kwa majaribio ya nyuklia

    Jul 05, 2021 05:49

    Waziri wa Mujahideen (maveterani wa vita vya ukombozi) nchini Algeria, Tayeb Zitouni amesema kuwa Ufaransa inakataa kuikabidhi nchi hiyo ramani ya maeneno yaliyotumiwa kwa ajili ya majaribio ya milipuko ya nyuklia yaliyofanywa na serikali ya Paris katika majangwa ya Algeria kwenye miaka ya sitini ya karne iliyopita.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS