Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Amir Abdollahian

  • Walid Al-Muallim: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni mshirika katika ushindi wa Syria

    Walid Al-Muallim: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni mshirika katika ushindi wa Syria

    Aug 02, 2017 14:25

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni mshirika katika ushindi unaopatikana kwenye medani za kupambana na ugaidi nchini Syria.

  • Iran: Tupo tayari kutuma dawa na timu ya madaktari Palestina

    Iran: Tupo tayari kutuma dawa na timu ya madaktari Palestina

    Jul 24, 2017 07:09

    Msaidizi Maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge) katika Masuala ya Kimataifa amesema Iran iko tayari kutuma dawa ili kuwasaidia haraka raia wa Kipalestina waliojeruhiwa hivi karibuni na wanajeshi wa utawala wa Kizayuni katika msikiti wa al Aqsa.

  • Iran: Kama si juhudi za Hizbullah, genge la Daesh lingekuwa limezitwaa nchi za Kiarabu

    Iran: Kama si juhudi za Hizbullah, genge la Daesh lingekuwa limezitwaa nchi za Kiarabu

    Jul 19, 2017 14:13

    Msaidizi Maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, lau kama si msaada wa harakati ya Kiislamu ya Hizbullah nchini Lebanon, katika kupambana na kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) nchini Syria, basi kundi hilo lingekuwa linapeperusha bendera zake katika nchi za Kiarabu.

  • Dunia yalaani hatua ya Israel kuufunga Msikiti wa al-Aqsa

    Dunia yalaani hatua ya Israel kuufunga Msikiti wa al-Aqsa

    Jul 15, 2017 12:56

    Nchi za Kiislamu duniani zinaendelea kulaani hatua ya utawala haramu wa Israel ya kuufunga Msikiti wa al Aqsa katika mji wa Quds Tukufu (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu baada ya oparesheni ya Wapalestina dhidi wanajeshi wa Kizayuni karibu na msikiti huo.

  • Amir-Abdollahian: Mazungumzo ndio njia pekee ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Bahrain

    Amir-Abdollahian: Mazungumzo ndio njia pekee ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Bahrain

    May 21, 2017 13:47

    Msaidizi Maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema katika radiamali yake kwa hukumu ya mwaka mmoja iliyotolewa na mahakama ya Bahrain dhidi ya Ayatullah Issa Qassemi mwanazuoni mashuhuri wa nchi hiyo kwamba, hatua hiyo ya ghadhabu ya kimahakama haisaidii chochote katika kuupatia ufumbuzi mgogoro wa nchi hiyo.

  • Utawala haramu wa Israel hauna nafasi aktika mustakabali wa Mashariki ya Kati

    Utawala haramu wa Israel hauna nafasi aktika mustakabali wa Mashariki ya Kati

    Apr 28, 2017 14:40

    Katibu Mkuu wa Kongamano la Kimataifa la Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina amesema: "Maadui hatimaye watasalimu amri kuhusu utatuzi wa kisiasa wa kadhia ya Syria na kwa yakini utawala haramu na wa kigaidi wa Israel hauna nafasi katika mustakabali wa Mashariki ya Kati."

  • Abdollahian: Kukombolewa mji wa Palmyra ni ishara kuwa magaidi wamefikia mwisho wao

    Abdollahian: Kukombolewa mji wa Palmyra ni ishara kuwa magaidi wamefikia mwisho wao

    Mar 03, 2017 07:39

    Msaidizi maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu nchini Iran (Bunge) katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, kukombolewa kikamilifu mji wa kihistoria wa Palmyra katika mkoa wa Homs, magharibi mwa Syria, ni ishara ya wazi kwamba magaidi wamefikia mstari wa mwisho wa uhai wao.

  •  Amir-Abdollahian: Waislamu wanaunga mkono azimio la kupinga vitongoji vya walowezi wa Kizayuni Palestina

    Amir-Abdollahian: Waislamu wanaunga mkono azimio la kupinga vitongoji vya walowezi wa Kizayuni Palestina

    Mar 02, 2017 07:46

    Katibu Mkuu wa Mkutano wa Kimataifa wa Kuunga Mkono Palestina amesema kuwa, nchi za Kiislamu kwa pamoja zinaunga mkono azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa la kupinga ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi unaofanywa na utawala haramu wa Israel huko Palestina.

  • Rais Bashar al-Assad: Iran ni muungaji mkono mkuu wa taifa la Syria

    Rais Bashar al-Assad: Iran ni muungaji mkono mkuu wa taifa la Syria

    Jan 26, 2017 13:35

    Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwa, Iran imekuwa muungaji mkono mkuu wa taifa la Syria katika kipindi chote cha mgogoro wa nchi hiyo uliodumu kwa miaka sita sasa.

  • Abdollahian: Aleppo inaelekea kusafika kutokana na uepo wa makundi ya kigaidi

    Abdollahian: Aleppo inaelekea kusafika kutokana na uepo wa makundi ya kigaidi

    Nov 29, 2016 14:03

    Hossein Amir-Abdollahian, msaidizi maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (bunge), katika masuala ya kimataifa, amesema kuwa hivi sasa mji wa Aleppo, kaskazini mwa Syria unaelea kusafika kutokana na uepo wa makundi ya kigaidi na kitakfiri.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS