-
Marandi: Nchi za Magharibi zinatoa madai ya uongo kuhusu miradi ya nyuklia ya Iran
Dec 24, 2022 22:48Mshauri wa vyombo vya habari wa timu ya mazungumzo ya nyuklia ya Iran amesema kuwa nchi za Magharibi zinadanganya kuhusu miradi ya kuzalisha nishati ya nyuklia nchini Iran, na amesisitiza kuwa Iran haina mpango wa kuzalisha silaha za nyuklia.
-
Amir-Abdollahian: Iran iko tayari kuchukua hatua kufikia mapatano ya nyuklia
Dec 24, 2022 03:41Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko tayari kuchukua hatua za mwisho za kufikia makubaliano ya nyuklia na kufuta vikwazo vya kidhalimu."
-
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran alaani shambulio la kigaidi la Istanbul Uturuki
Nov 14, 2022 23:00Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani shambulio la kigaidi lililotokea juzi jioni mjini Istanbul Uturuki na kuua na kujeruhi makumi ya watu.
-
Amir Abdollahian: Azimio la UN haliizuia Iran kuuza silaha nje ya nchi
Nov 12, 2022 04:40Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema: "Kwa mujibu wa azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama, hakuna marufuku ya kuagiza na kuuza silaha za Iran nje ya nchi, na Tehran haijaipa Russia silaha zozote ili zitumike katika vita vya Ukraine."
-
Iran: Hatutaipatia Marekani fursa yoyote ya ziada katika mazungumzo ya uondoaji vikwazo
Oct 22, 2022 09:05Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, Iran inachukua hatua kwa kutumia mantiki na kuchunga mistari myekundu ya Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu na haitapatia Marekani fursa yoyote ya ziada katika mazungumzo ya uondoaji vikwazo.
-
Amir-Abdollahian: Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq alikuwa amebeba salamu za Marekani kwa Iran
Sep 30, 2022 04:29Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, katika kipindi cha miezi iliyopita baadhi ya mawaziri wa mambo ya nje wa nchi kadhaa wamekuwa wakifikisha jumbe za Marekani kwa Iran na kinyume chake, na akaongeza kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq, Fuad Hussein naye pia alikuwa amebeba ujumbe wa salamu za Marekani kwa Iran.
-
Iran: Jitihada za kufelisha kabisa vikwazo vya mabeberu zinaendelea
Sep 28, 2022 07:18Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, juhudi zinaendelea za kuhakikisha vikwazo vya mabeberu dhidi ya taifa hili la Kiislamu vinafeli na kutokuwa na athari yoyote.
-
Iran inataka mgogoro wa Iraq kutatuliwa kupitia njia za kisheria
Aug 29, 2022 23:20Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza haja ya kuhifadhiwa umoja wa kitaifa wa Iraq, akisema matatizo ya nchi hiyo yanapaswa kutatuliwa kwa njia za kisheria.
-
Amir-Abdollahian: Afrika ni moja ya vipaumbele vikuu vya diplomasia ya kiuchumi ya Iran
Aug 25, 2022 06:54Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran aliyeko ziarani nchini Tanzania amesema kuwa, bara la Afrika ni moja ya vipaumbele vikuu vya diplomasia ya kiuchumi ya Iran.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aelekea Tanzania akitokea nchini Mali
Aug 24, 2022 10:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo Jumatano ameelekea nchini Tanzania baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi katika nchi ya Mali ya Magharibi mwa Afrika.