Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Amir Abdollahian

  • Iran inakaribisha njia ya diplomasia na mazungumzo

    Iran inakaribisha njia ya diplomasia na mazungumzo

    Jul 28, 2022 07:57

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anasema Tehran inakaribisha kuendelea njia ya diplomasia kwa madhumuni ya kufikia makubaliano juu ya kuondolewa vikwazo dhidi yake na kuhuisha mapatano ya nyuklia ya  2015, huku akihimiza Marekani izingatie uhalisia wa mambo.

  • Iran iko tayari kusaidia utatuzi wa kidiplomasia wa mzozo wa Ukraine

    Iran iko tayari kusaidia utatuzi wa kidiplomasia wa mzozo wa Ukraine

    Jul 01, 2022 10:13

    Iran imesisitiza dhamira yake ya kuchangia katika utatuzi wa kidiplomasia wa mzozo unaotokota nchini Ukraine, ambao sasa unaingia mwezi wa tano.

  • Iran: Utawala wa Kizayuni ndiyo sababu ya ugaidi na uharibifu katika eneo hili zima

    Iran: Utawala wa Kizayuni ndiyo sababu ya ugaidi na uharibifu katika eneo hili zima

    Jun 19, 2022 06:56

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema katika mazungumzo yake na waziri mwenzake wa mambo ya nje wa Muungano wa Falme za Kiarabu (Imarati) kwamba kuwepo utawala pandikizi wa Kizayuni katika eneo hili ndiyo sababu ya ukosefu wa utulivu na amani kama ambavyo ndio ulioleta vitendo vya kigaidi na uharibifu katika eneo hili zima.

  • Amir Abdollahian: Uhusiano mzuri baina ya majirani unawakatisha tamaa maadui katika eneo

    Amir Abdollahian: Uhusiano mzuri baina ya majirani unawakatisha tamaa maadui katika eneo

    May 17, 2022 07:26

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameashiria mazungumzo kati yake na Rais mpya wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati), na kueleza kuwa uhusiano mwema kati ya nchi jirani ni sababu ya kuvunjika moyo maadui katika eneo.

  • Amir-Abdollahian: Sera mbovu za Marekani ndizo zilizosababisha hali ya sasa katika mazungumzo ya Vienna

    Amir-Abdollahian: Sera mbovu za Marekani ndizo zilizosababisha hali ya sasa katika mazungumzo ya Vienna

    May 07, 2022 03:01

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, sera mbovu ya Marekani ya mashinikizo ya juu kabisa dhidi ya Iran ndio iliyosababisha hali ya sasa katika mazungumzo ya Vienna.

  • Iran na Mauritania zahimiza kuimarisha ushirikiano wao katika nyuga zote

    Iran na Mauritania zahimiza kuimarisha ushirikiano wao katika nyuga zote

    Apr 20, 2022 07:48

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amefanya mazungumzo ya simu na waziri mwenzake wa mambo ya nje wa Mauritania na kutilia mkazo udharura wa kuimarishwa uhusiano wa Tehran na Nouakchott katika nyuga zote.

  • Amir Abdollahian azungumza kwa simu na Guterres: Mapatano yanakaribia katika mazungumzo ya Vienna

    Amir Abdollahian azungumza kwa simu na Guterres: Mapatano yanakaribia katika mazungumzo ya Vienna

    Apr 03, 2022 11:28

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa mapendekezo ya Iran katika mazungumzo ya Vienna yametumwa upande wa Marekani mwakilishi wa Umoja wa Ulaya katika mazungumzo hayo; na sasa mpira upo mbele ya Marekani.

  • Amir Abdollahian: Tuko tayari kufanya duru ya tano ya mazungumzo na Riyadh

    Amir Abdollahian: Tuko tayari kufanya duru ya tano ya mazungumzo na Riyadh

    Mar 26, 2022 06:42

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa: Iran iko tayari kwa ajili ya duru ya tano ya mazungumzo na Riyadh.

  • Ziara ya tatu ya Amir-Abdollahian nchini Syria katika kipindi cha miezi 7

    Ziara ya tatu ya Amir-Abdollahian nchini Syria katika kipindi cha miezi 7

    Mar 25, 2022 08:57

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Hossein Amir-Abdollahian, Jumatano, tarehe 23 Machi alitembelea kwa mara ya tatu nchi ya Syria katika kipindi cha miezi 7 iliyopita.

  • Amir- Abdollahian: Tuna matumaini na tuko jadi kuhusu natija ya mazungumzo ya Vienna

    Amir- Abdollahian: Tuna matumaini na tuko jadi kuhusu natija ya mazungumzo ya Vienna

    Mar 25, 2022 08:17

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina matumaini na wakati huo huo ipo jadi kuhusu matokeo ya mazungumzo ya Vienna.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS