-
Amir-Abdollahian: Kustawisha uhusiano na Russia kuna umuhimu kwa Iran
Mar 15, 2022 13:44Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, bila kujali matukio na mabadiliko yoyote yanayojiri kimataifa, kustawisha uhusiano na Russia kuna umuhimu kwa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Iran yasisitiza kutumiwa njia ya kisiasa kwa ajili ya kutatua mgogoro wa Ukraine
Mar 03, 2022 08:11Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kutumiwa njia ya kisiasa kwa ajili ya kutatua mgogoro wa Ukraine.
-
Iran: Shabaha yetu ni kufikia mapatano mazuri katika mazungumzo ya Vienna
Feb 23, 2022 07:12Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, licha ya njama kubwa zilizofanywa na serikali ya Trump huko Marekani lakini njama zake zote zilishindwa mbele ya Iran na hakuweza kulipigisha magoti taifa hili wala kulifanya litengwe. Amesema, shabaha ya Tehran ni kufikia mapatano mazuri katika mazungumzo ya Vienna, Austria.
-
Amir-Abdollahian: Makubaliano mazuri ya JCPOA yanaweza kufikiwa ndani ya muda mfupi
Feb 15, 2022 03:02Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: ikiwa Marekani na nchi tatu za Ulaya zitakuwa na nia ya dhati kuhusiana na kurejea kwenye utekelezaji kamili wa majukumu yao yaliyoainishwa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, mapatano yanaweza kufikiwa ndani ya muda mfupi.
-
Mazungumzo ya Vienna; Iran inafuatilia mapatano ya aina gani
Feb 07, 2022 17:34Hossein Amir-Abdollahian Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amefanya mazungumzo ya simu na Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya Joseph Borell, ambapo ametoa tathmini kuhusu hali ya hivi sasa ya mazungumzo ya Vienna na kusema, "Tehran imedhamiria kufikia makubaliano, lakini maslahi ya kitaifa ya Iran lazima yadhaminiwe."
-
Amir- Abdollahian: Hakuna ubunifu wowote wa jadi na mkubwa uliowasilishwa na Marekani
Feb 06, 2022 12:28Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa hakuna ubunifu wowote wa jadi na mkubwa uliowasilishwa na Marekani kwa ajili ya kuondoa vikwazo na kurejea katika mapatano ya JCPOA.
-
Abdollahian: Utawala wa Kizayuni wa Israel ni tishio kwa nchi zote za Asia Magharibi
Feb 03, 2022 04:28Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwepo utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo la Magharibi mwa Asia ni tishio kwa nchi zote na eneo hilo.
-
Amir Abdollahian asisitiza kustawisha uhusiano na nchi za Kiafrika
Jan 25, 2022 15:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza suala la kuimarisha uhusiano na nchi za Kiafrika na kustawishwa ushirikiano wa pande zote katika sekta mbalimbali kwa maslahi ya pamoja na nchi ya Togo.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia: Safari ya Rais wa Iran mjini Moscow ina umuhimu mkubwa sana
Jan 21, 2022 02:29Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amesema, safari ya Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Moscow ina umuhimu mkubwa sana,.
-
Iran: Uhusiano wetu na Oman ni wa jadi na imara sana
Jan 10, 2022 14:03Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mara nyingine tena amesisitiza kuwa, uhusiano wa Tehran na Oman ni wa jadi na imara na kwamba siasa za serikali ya Iran zitaendelea kuwa za kupigania uhusiano imara na majirani zake.