-
Amir Abdolahian na mwenzake wa China wapongeza mwenendo wa mazungumzo ya Vienna
Dec 17, 2021 08:04Hussein Amir Abdolahian Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran jana Alhamisi aliwasiliana kwa njia ya simu na na kufanya mazungumzo na mwenzake wa China, Wang Yi kuhusu uhusiano wa pande na kubadilishana mawazo juu ya mwenendo wa mazungumzo ya nyuklia ya Vienna na matukio ya kimataifa.
-
Iran: Tuna nia ya kutaka kufikiwa makubaliano katika mazungumzo ya JCPOA
Dec 09, 2021 13:48Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza tena leo kuwa, taifa hili linafuatilia ili kuhakikisha kwamba, kunapatikana makubaliano mazuri kupitia mazungumzo ya nyuklia ya Vienna Austria kati yake na kundii la 4+1.
-
Hossein Amir-Abdollahian: Marekani haiwezi kurejea kwenye mapatano ya JCPOA bila ya kuondoa vikwazo
Dec 07, 2021 08:00Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Iran amesema kuwa, hakuna njia yoyote ya kuiwezesha Marekani kurejea katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA bila ya kuondoa vikwao vyake vya kidhalimu dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Amir Abdullahiyan: Inawezekana kufikia mapatano na Wakala wa IAEA
Nov 25, 2021 08:12Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema inawezekana kufikia mapatano na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA).
-
Iran: Tuna nia ya kweli ya kushirikiana na wakala wa nyuklia wa IAEA
Nov 24, 2021 03:12Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran ina nia ya kweli ya kushirikiana na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA.
-
Amir-Abdolahian: Iran na Uturuki ni nchi mbili kubwa katika eneo na mchango wao haupingiki
Nov 17, 2021 03:02Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa ripoti kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram kuhusu mazungumzo yake na waziri mwenzake wa Uturuki hapa Tehran na kusema kuwa, Iran na Uturuki ni nchi mbili kubwa katika eneo la Asia Magharibi na mchango wa nchi hizo mbili katika eneo hilo haukanushiki.
-
Kuimarisha uhusiano wa kiuchumi ni kipaumbele cha sera za kigeni za Iran
Oct 31, 2021 12:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Hossein Amirabdollahian amesema kipaumbele katika sera za kigeni za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hivi sasa ni kuimarisha uhusiano wa kiuchumi na nchi za dunia hasa nchi jirani.
-
Sisitizo la Iran la Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) kuwa na mchango amilifu zaidi nchini Afghanistan
Oct 20, 2021 02:21Hussein Amir-Abdollahian, Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, lengo la genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh huko Afghanistan ni kuchochea chuki na uadui wa kimadhehebu na ameitaka Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC ilaani vikali vitendo vya kinyama vya Daesh.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran afanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon
Oct 08, 2021 08:01Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon kuhusu matukio ya karibuni kabisa ya kisiasa ya nchi hiyo na eneo.
-
Amir Abdollahian: Marekani ndio chanzo cha kuvurugika uthabiti Afghanistan
Sep 14, 2021 03:43Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, Marekani imechangia pakubwa katika kuvurugika amani na uthabiti nchini Afghanistan.