-
Amir-Abdollahian: Umoja wa Mataifa una jukumu la kutetea haki za Wapalestina
Sep 10, 2021 08:11Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani jinai za utawala haramu wa Israel na kueleza kwamba, Umoja wa Mataifa una jukumu la kutetea haki za Wapalestina.
-
Mtazamo wa serikali mpya ya Iran kuhusu kuhuishwa mazungumzo ya nyuklia
Sep 04, 2021 01:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo na mawaziri wa mambo ya nje wa Ujerumani, Ufaransa na Austria kuhusu sera za kigeni zenye mlingano, kuratibu uhusiano wa Iran na Umoja wa Ulaya na mapatano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Amir Abdollahian: Israel haina nafasi katika mustakabali wa Asia Magharibi
Jul 03, 2021 08:13Hossein Amir-Abdollahian, mshauri maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema: "Utawala wa Israel hautakuwa na nafasi yoyote katika mustakabali wa eneo (la Asia Magharibi).
-
Amir Abdolahian: Iran itaendelea kuunga mkono usalama wa Iraq kwa nguvu zake zote
Feb 01, 2021 08:13Msaidizi maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, Iran inauhesabu usalama wa jirani yake Iraq kuwa ni sawa na usalama wake, hivyo itatumia nguvu zake zote kuunga mkono usalama wa nchi hiyo.
-
Abdolahian: Kipimo cha wananchi wa Iran ni vitendo vya viongozi wapya wa Marekani, si maneno
Jan 22, 2021 03:56Msaidizi Maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) katika masuala ya kimataifa amegusia kuingia madarakani serikali mpya nchini Marekani na huku akisisitiza kwamba hivi sasa mapatano ya JCPOA yamebakia jina tu amesema, kipimo cha wananchi wa Iran ni vitendo vya viongozi wapya huko White House.
-
Amir-Abdollahian: Kama watawala wa Kiarabu wameghafilika na Uislamu basi wafikirie japo maana ya ‘ghera ya Kiarabu’
Dec 12, 2020 11:23Msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, hatua ya Morocco ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel ni usaliti na pigo la jambia dhidi ya mwili wa muqawama wa Palestina.
-
Amir-Abdollahian: Kisasi cha damu ya kamanda Suleimani kitakuwa kikubwa zaidi kuliko shambulio la Ainul-Asad
Oct 17, 2020 04:31Katibu wa Kamati ya Palestina ya Mkutano wa Kimataifa ya Mujahidina walio kwenye upweke amesema, Marekani inajua kwamba kisasi cha damu ya Kamanda Qassem Suleimani kitakuwa kikubwa zaidi kuliko shambulio ililofanya Iran dhidi ya kambi ya Ainul-Asad.
-
Mhimili wa Muqawama utasambaratisha njama ya kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni
Aug 18, 2020 02:50Msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Iran katika masuala ya kimataifa ameashiria mapatano ya kuanzishwa uhusiano baina ya utawala wa Kizayuni na Umoja wa Falme za Kiarabu na kusema: "Mhimili wa muqawama utafichua wale wote wanaohusika na uhaini na kuzima njama zao."
-
Abdollahian: Kwa sasa utawala wa Kizayuni uko kwenye hali ngumu kuliko wakati mwingine wowote
Jul 26, 2020 07:39Msaidizi Maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) anayeshughulikia masuala ya kimataifa amesema kwamba kwa sasa Wazayuni wanakabiliwa na hali ngumu na tata zaidi kuliko wakati mwingine wowote ule.
-
"Trump anaongoza magaidi waliovaa tai huko White House"
Jun 06, 2020 11:40Msaidizi maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) katika masuala ya kimataifa amesisitiza kuwa, wananchi waliostaarabika wa Iran wanamtambua vyema mkuu wa magaidi waliovaa tai katika Ikulu ya Marekani, White House.