Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Amir Abdollahian

  • Amir Abdollahian: Mbali na vikwazo, sasa Marekani inafanya uharamia wa vifaa vya corona

    Amir Abdollahian: Mbali na vikwazo, sasa Marekani inafanya uharamia wa vifaa vya corona

    Apr 10, 2020 02:31

    Mshauri wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, mbali na kuziwekea nchi mbalimbali vikwazo, Marekani hivi sasa inafanya pia uharamia wa kupora shehena za barakoa (mask) na vifaa vya kupimia ugonjwa wa COVID-19 duniani.

  • Mousavi: Harakati za Marekani nchini Iraq zinasababisha ghasia na ukosefu wa amani

    Mousavi: Harakati za Marekani nchini Iraq zinasababisha ghasia na ukosefu wa amani

    Apr 01, 2020 07:57

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameashiria harakati za wanajeshi wa Marekani huko Iraq na kueleza kuwa, harakati hizo mbali na kukiuka mamlaka ya kitaifa ya Iraq zinasababisha ghasia na ukosefu wa amani katika eneo la Asia Magharibi.

  • Mshauri wa Spika wa Bunge: Kinara wa genge la kigaidi la DAESH alikuwa kikaragosi cha Marekani

    Mshauri wa Spika wa Bunge: Kinara wa genge la kigaidi la DAESH alikuwa kikaragosi cha Marekani

    Oct 28, 2019 07:35

    Mkurugenzi Mkuu wa masuala ya kimataifa wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema, kinara wa genge la kigaidi la DAESH (ISIS) Abubakar al-Baghdadi ni kikaragosi kilichotengezwa na Marekani ambacho muda wa matumizi yake ulikuwa umeshamalizika.

  • Iran yasisitiza kuimarisha uhusiano wa pande zote na Afrika Kusini

    Iran yasisitiza kuimarisha uhusiano wa pande zote na Afrika Kusini

    Aug 15, 2019 07:16

    Akizungumza na Balozi iwa Afrika Kusini mjini Tehran, Msaidizi maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inasisitiza kuimarisha uhusiano wa pande zote na nchi za bara la Afrika na khususan Afrika Kusini.

  • Hossein Amir-Abdollahian: Marekani chanzo cha ukosefu wa usalama na amani nchini Afghanistan

    Hossein Amir-Abdollahian: Marekani chanzo cha ukosefu wa usalama na amani nchini Afghanistan

    Jul 30, 2019 07:45

    Hossein Amir-Abdollahian, Msaidizi Maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, siasa mbovu za Marekani ndio chimbuko la ukosefu wa usalama na amani nchini Afghanistan.

  • Sayyid Nasrullah: Muqawama upo katika kiwango bora kabisa

    Sayyid Nasrullah: Muqawama upo katika kiwango bora kabisa

    Jul 20, 2019 02:37

    Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, mapambano na muqawama upo katika kiwango cha juu kabisa na kusisitiza kwamba, siasa za chukki na uadui za Marekani na utawala haramu wa Israel katika eneo la Asia Magharibi zitashindwa na kugonga mwamba.

  • Rais Bashar al-Assad: Syria itasimama pamoja na Iran kuvikabili vitisho vya Marekani

    Rais Bashar al-Assad: Syria itasimama pamoja na Iran kuvikabili vitisho vya Marekani

    Jul 16, 2019 03:28

    Rais Bashar al-Assad wa Syria amesisitiza kwamba nchi yake itasimama pamoja na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuvikabili vitisho vya Marekani.

  • Amir Abdolahian: Njia ya chini ya ardhi ya Msikiti wa al Aqsa ni uvunjaji wa wazi wa haki za binadamu

    Amir Abdolahian: Njia ya chini ya ardhi ya Msikiti wa al Aqsa ni uvunjaji wa wazi wa haki za binadamu

    Jul 04, 2019 02:41

    Katibu Mkuu wa Mkutano wa Kimataifa wa Kuunga Mkono Palestina amesema kuwa, kufunguliwa njia ya chini ya ardhi inayopitia chini ya Msikiti wa al Aqsa ni uvunjaji wa wazi wa sheria za kimataifa na maazimio ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO).

  • Iran yaionya Saudi Arabia kutokana na chokochoko zake dhidi ya Tehran

    Iran yaionya Saudi Arabia kutokana na chokochoko zake dhidi ya Tehran

    Jun 04, 2019 07:09

    Msaidizi maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) katika masuala ya kimataifa ameionya Saudi Arabia iache kushirikiana na Marekani katika chokochoko zake dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Abdollahian: Jinai za Wazayuni dhidi ya Wapalestina zinafanyika kwa uungaji mkono wa Marekani

    Abdollahian: Jinai za Wazayuni dhidi ya Wapalestina zinafanyika kwa uungaji mkono wa Marekani

    May 06, 2019 07:51

    Katibu Mkuu wa Kongamano la Kimataifa la Kuunga Mkono Intifadha ya Palestine amesema: "Hujuma za utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza zinatokana na ukatili na unyama wa Wazayuni waporaji ambao wanapata uungaji mkono wa pande zote wa rais mbaguzi wa rangi wa Marekani."

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS