Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Amir Abdollahian

  •  Amir-Abdollahian: Marekani inataka kuzusha machafuko nchini Venezuela

    Amir-Abdollahian: Marekani inataka kuzusha machafuko nchini Venezuela

    Feb 26, 2019 02:37

    Msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amelaani hatua ya Marekani ya kuingilia masuala ya ndani ya Venezuela na kusema kuwa, Washington inataka kuiondoa madarakani serikali halali na kuitumbukiza nchi hiyo katika vurugu na machafuko.

  • Abdollahian: Iran itasimama kwa nguvu zote kuwasaidia waitifaki wake

    Abdollahian: Iran itasimama kwa nguvu zote kuwasaidia waitifaki wake

    Aug 24, 2018 04:25

    Hossein Amir-Abdollahian, msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, Iran itaendelea kusimama kwa nguvu zake zote kwa ajili ya kuwasaidia waitifaki wake katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Abdollahian: Kukombolewa miinuko ya Golan ya Syria ni jambo linalowezekana

    Abdollahian: Kukombolewa miinuko ya Golan ya Syria ni jambo linalowezekana

    Jul 29, 2018 08:00

    Mshauri maalumu wa Spika wa bunge la Iran katika masuala ya kimataifa amesema: kukombolewa miinuko ya Golan ya Syria inayokaliwa kwa mabavu kunawezekana kwa juhudi za wananchi wa Syria.

  • Abdollahian: Siasa za Marekani za kuunga mkono kundi la kigaidi la munafiqina, zimefeli

    Abdollahian: Siasa za Marekani za kuunga mkono kundi la kigaidi la munafiqina, zimefeli

    Jul 18, 2018 02:31

    Hossein Amir-Abdollahian, msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, siasa za Marekani za kucheza mchezo mchafu wa kuliunga mkono na kulisaidia kundi la kigaidi la munafiqina (MKO) kwa ajili ya kuishinikiza Iran, zimefeli.

  • Abdollahian: Marekani imekasirishwa na kusambaratishwa magaidi wa Daesh nchini Syria

    Abdollahian: Marekani imekasirishwa na kusambaratishwa magaidi wa Daesh nchini Syria

    Apr 12, 2018 02:33

    Mshauri wa Masuala ya Kimataifa wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, kusambaratishwa magaidi wa Daesh (ISIS) nchini Syria kumeikasirisha sana Marekani na kwamba vitisho vinavyotolewa hivi sasa na Washington dhidi ya Damascus vina shabaha ya kuhamisha mazungumzo ya Astana na Sochi na kuyapelekea Vienna na Geneva kwa lengo la kudhamini malengo ya Marekani.

  • Abdollahian: Uteuzi wa Bolton ni kwa lengo la kupata manufaa zaidi Marekani kupitia JCPOA

    Abdollahian: Uteuzi wa Bolton ni kwa lengo la kupata manufaa zaidi Marekani kupitia JCPOA

    Mar 26, 2018 07:52

    Msaidizi maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, kitendo cha rais wa Marekani cha kuwapa vyeo muhimu watu wenye misimamo mikali kama John Bolton kwa hakika ni siasa za kutaka kupata manufaa zaidi kupitia maafikiano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Saudia inalenga kuvuruga uthabiti katika eneo

    Saudia inalenga kuvuruga uthabiti katika eneo

    Feb 18, 2018 07:30

    Mshauri wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, katika masuala ya kimataifa amesema Saudi Arabia inalenga kuvuruga uthabiti katika eneo kwa kuvuruga serikali zilizopo.

  • Msaidizi maalumu wa Spika: Madai ya Marekani dhidi ya Iran ni fedheha ya kisiasa

    Msaidizi maalumu wa Spika: Madai ya Marekani dhidi ya Iran ni fedheha ya kisiasa

    Dec 16, 2017 08:01

    Msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Iran katika masuala ya kimataifa amesema madai yaliyotolewa na mwakilishi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran ni fedheha ya kisiasa.

  • Hossein Amir-Abdollahian: Iran inakitetea kibla cha kwanza cha Waislamu

    Hossein Amir-Abdollahian: Iran inakitetea kibla cha kwanza cha Waislamu

    Dec 11, 2017 08:14

    Hossein Amir-Abdollahian, msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, Iran daima imekuwa mtetezi wa haki za wananchi madhulumu wa Palestina na kibla cha kwanza cha Waislamu na itaendelea kufanya hivyo.

  • Ushirikiano wa Iran na Zimbabwe katika mapambano dhidi ya mabeberu ni mfano wa kuigwa

    Ushirikiano wa Iran na Zimbabwe katika mapambano dhidi ya mabeberu ni mfano wa kuigwa

    Sep 05, 2017 14:12

    Mshauri maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, amesema muqawama au mapambano ya watu wa Iran na Zimbabwe dhidi ya madola ya kibeberu ni mfano wa kuigwa na wapigania uhuru kote duniani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS