-
Madaktari Angola kuendelea na mgomo wa nchi nzima
Dec 13, 2021 01:01Zaidi ya nusu ya madaktari wote nchini Angola wanaendelea na mgomo wao wa nchi nzima wakishinikiza kulipwa mishahara yao na kuboreshewa mazingira ya kazi huku janga la corona likiendelea kuutatiza mfumo dhaifu wa huduma za afya wa nchi hiyo.
-
Watoto 144 waaga dunia kwa utapiamlo nchini Angola
Oct 01, 2020 04:24Watoto 144 wamepoteza maisha kutokana na utapiamlo katika kipindi cha miezi sita ya kwanza ya mwaka huu katika mkoa wa Bié katikati mwa Angola.
-
Ureno yazuilia mali za binti wa rais wa zamani wa Angola
Apr 05, 2020 03:30Mahakama moja mjini Lisbon nchini Ureno imezuilia hisa za mfanyabiashara bilionea na binti wa rais wa zamani wa Angola, Jose Eduardo dos Santos, anaeandamwa na tuhuma za ufisadi.
-
Angola kutoa waranti ya kukamatwa binti 'fisadi' wa rais wa zamani
Jan 23, 2020 23:23Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Angola amesema ikilazimu, serikali ya nchi hiyo itatoa waranti ya kimataifa ya kukamatwa na kurejeshwa nchini humo mfanyabiashara bilionea na binti wa rais wa zamani wa nchi hiyo, Jose Eduardo dos Santos.
-
Angola yaahidi kumrejesha Dos Santos baada ya Luanda kufichua nyaraka za tuhuma za ubadhirifu dhidi yake
Jan 21, 2020 09:08Waendesha Mashtaka nchini Angola wamesema kuwa watatumia njia zote zinazowezekana kufanikisha zoezi la kurejeshwa nchini mfanyabiashara na binti ya rais wa zamani wa nchi hiyo, Jose Eduardo dos Santos.
-
Wakimbizi 10 wa Kongo DR wauawa katika ghasia nchini Angola
Oct 09, 2018 04:44Kwa akali raia 10 wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameripotiwa kuuawa nchini Angola katika makabliano baina yao kwa upande mmoja na askari polisi na wananchi wa nchi hiyo jirani kwa upande wa pili.
-
Rais wa zamani wa Angola, Dos Santos, kustaafu siasa kikamilifu
Sep 07, 2018 20:53Rais wa zamani wa Angola, Jose Eduardo dos Santos anatarajia kustaafu kikamilifu katika uga wa siasa leo Jumamosi na kukabidhi uongozi wa chama tawala kwa mrithi wake Rais Joao Lourenço wa nchi hiyo.
-
Wanadiplomasia wawili wa Angola waachishwa kazi kwa kuhudhuria dhifa ya ufunguzi wa ubalozi wa US Quds
May 24, 2018 10:20Serikali ya Angola imewaachisha kazi wanadiplomasia wake wawili waandamizi kwa kuhudhuria dhifa ya kusherehekea ufunguzi wa ubalozi wa Marekani katika mji wa Baitul Muqaddas (Jerusalem) huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu iliyofanyika tarehe 13 Mei.
-
Mtoto wa rais wa zamani wa Angola azuiwa kuondoka nchini kwa tuhuma za ufisadi
Mar 27, 2018 03:20Mtoto wa kiume wa rais wa zamani wa Angola, Jose Eduardo dos Santos amezuiwa kuondoka nchini kutokana na tuhuma za ufisadi zinazomuandama.
-
Angola yawatimua maelfu ya wahamiaji haramu wa Kongo DR
Nov 05, 2017 23:16Serikali ya Angola imewafukuza nchini humo maelfu ya wahamiaji haramu raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.