Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Angola

  • Vyama vya upinzani Angola vyaenda mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi

    Vyama vya upinzani Angola vyaenda mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi

    Sep 09, 2017 07:57

    Vyama vitatu vya upinzani nchini Angola vimewasilisha malalamiko mahakamani dhidi ya matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika nchini humo hivi karibuni, ambapo chama tawala cha MPLA kilitangazwa kuibuka mshindi.

  • Upinzani Angola waitaka tume ya uchaguzi kufafanua matokeo yake

    Upinzani Angola waitaka tume ya uchaguzi kufafanua matokeo yake

    Aug 27, 2017 07:39

    Kinara wa chama kikuu cha upinzani nchini Angola ameitaka tume ya uchaguzi nchini humo kutoa ufafanuzi na maelezo ya kina kuhusu namna ilivyokipa ushindi wa kishindo chama tawala nchini humo.

  • Wananchi wa Angola washiriki katika uchaguzi wa Bunge huku Rais Dos Santos akistaafu

    Wananchi wa Angola washiriki katika uchaguzi wa Bunge huku Rais Dos Santos akistaafu

    Aug 23, 2017 13:51

    Wananchi wa Angola waliotimiza masharti ya kupiga kura leo wameelekea katika vituo vya kupigia kura kwa ajili ya kuchagua wawakilishi wa Bunge ambao ndio watakaomchagua Rais mpya wa nchi hiyo katika Uchaguzi wa kihistoria, unaomaliza uongozi wa Rais Jose Eduardo Dos Santos aliyeongoza nchi hiyo kwa miaka 38.

  • EU haitatuma timu ya waangalizi wa uchaguzi nchini Angola

    EU haitatuma timu ya waangalizi wa uchaguzi nchini Angola

    Jul 29, 2017 02:22

    Umoja wa Ulaya umefuta mpango wa kutuma timu ya waangalizi wake katika uchaguzi wa Angola unaofanyika mwezi ujao, baada ya serikali ya Luanda kutokubali baadhi ya masharti yake.

  • UN inahitaji dola milioni 65 kwa ajili ya wakimbizi wa DRC

    UN inahitaji dola milioni 65 kwa ajili ya wakimbizi wa DRC

    Jun 14, 2017 04:19

    Umoja wa Mataifa umesema unahitaji makumi ya mamilioni ya dola kwa ajili ya wakimbizi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo waliokimbilia nchi jirani ya Angola.

  • UN yatuma misaada kwa raia wa Kongo DR nchini Angola

    UN yatuma misaada kwa raia wa Kongo DR nchini Angola

    Apr 30, 2017 16:03

    Umoja wa Mataifa umelazimika kutumia usafiri wa ndege kutuma misaada yake ya kibinadamu kwa makumi ya maelfu ya raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo walioko nchini Angola.

  • Rais wa Angola aafiki uchaguzi mkuu ufanyike Agosti 23

    Rais wa Angola aafiki uchaguzi mkuu ufanyike Agosti 23

    Apr 27, 2017 04:33

    Rais Jose Eduardo dos Santos wa Angola amesaini dikrii inayoruhusu tarehe 23 Agosti mwaka huu kuwa siku ya kufanyika uchaguzi mkuu nchini humo.

  • Zaidi ya raia elfu 9 wa Kongo DR wakimbilia Angola kutafuta hifadhi

    Zaidi ya raia elfu 9 wa Kongo DR wakimbilia Angola kutafuta hifadhi

    Apr 18, 2017 15:37

    Maelfu ya raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamekimbilia nchi jirani ya Angola kwenda kuomba hifadhi kutokana na kushtadi machafuko nchini mwao.

  • Machafuko yashtadi Kongo DR, Angola yafunga mpaka wake na nchi hiyo

    Machafuko yashtadi Kongo DR, Angola yafunga mpaka wake na nchi hiyo

    Mar 31, 2017 14:55

    Serikali ya Angola imeamua kufunga mpaka wa nchi hiyo na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kutokana na kushtadi machafuko katika mkoa wa Kasai, kusini mwa DRC.

  • Angola yailaumu Ureno, yasema hukumu dhidi ya Makamu wa Rais ni hujuma

    Angola yailaumu Ureno, yasema hukumu dhidi ya Makamu wa Rais ni hujuma

    Feb 25, 2017 07:55

    Serikali ya Angola imetangaza kuwa, uamuzi wa serikali ya Ureno wa kumtuhumu Makamu wa Rais wa nchi hiyo, Manuel Domingos Vicente kuwa ametoa rushwa na kutakatisha fedha chafu ni "hujuma nzito" na kwamba inatishia uhusiano kati ya nchi mbili.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS