-
Watu 17 wafariki dunia katika msongamano kwenye uwanja wa mpira nchini Angola
Feb 11, 2017 03:53Watu 17 wamefariki dunia na makumi ya wengine kujeruhiwa nchini Angola baada ya kutokea msongamano mkubwa katika uwanja mmoja wa mpira kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Rais Dos Santos wa Angola hatagombea tena urais
Feb 03, 2017 10:49Rais Jose Eduardo do Santos wa Angola amethibitisha leo kuwa hatagombea tena urais katika uchaguzi wa mwaka huu na hivyo atahitimisha utawala wake wa miaka 38 katika nchi hiyo ya kusini mwa Afrika.
-
Angola yaripoti kesi mbili za kwanza za ugonjwa wa Zika
Jan 12, 2017 03:55Angola jana ilitangaza kuwa imesajili kesi mbili za awali za kirusi cha Zika, ikiwa imepita miezi mitatu baada ya kudhibitiwa mlipuko wa ugonjwa wa homa ya manjano ambao umeuwa nchini humo watu wasiopungua 400.
-
Rais Dos Santos wa Angola kuachia ngazi mwaka 2017
Dec 03, 2016 10:50Imedokezwa kuwa Rais Jose Eduardo dos Santos wa Angola, ambaye amekuwa madarakani tokea mwaka 1979, hatasimama tena katika uchaguzi wa rais utakaofanyika nchini humo mwakani.
-
Waasi wa FLEC wadai kuua askari 18 wa jeshi la Angola
Oct 01, 2016 04:28Waasi wa kundi linalopigania kujitenga eneo la Cabinda nchini Angola (FLEC) wamedai kwamba wameua askari 18 wa nchi hiyo.
-
Wanajeshi 12 wa Angola wauawa na waasi wa Cabinda
Sep 07, 2016 08:44Waasi wa kundi la FLEC linalopigania kujitenga eneo la Cabinda huko Angola wamedai kuwa wameua wanajeshi wa serikali wasiopungua 12 katika eneo tajiri kwa mafuta kusini mwa nchi hiyo.
-
Waasi wa FLEC wadai kuua askari 17 wa jeshi la Angola
Aug 02, 2016 03:27Waasi wa kundi linalopigania kujitenga eneo la Cabinda nchini Angola FLEC wamedai kwamba wameua askari 17 wa nchi hiyo katika makabiliano makali yaliyojiri mwishoni mwa wiki iliyomalizika.
-
Dola milioni 1.4 zahitajika kukabili homa ya manjano Angola
Jul 07, 2016 23:48Shirika la Msalaba Mwekundu limesema linahitajia dola milioni 1.4 za Marekani ili kukabili maambukizi mapya ya homa ya manjano nchini Angola.
-
Angola, Misri kuishawishi UN kuziondolea vikwazo CAR na S/Kusini
Jun 21, 2016 23:34Angola na Misri zimesema zitazishawishi nchi wanachama wasio wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa zikubali wazo la kuondolewa vikwazo Jamhuri ya Afrika ya Kati na Sudan Kusini.
-
Watu karibu laki sita wanakabiliwa na baa la njaa Angola
Jun 02, 2016 23:23Umoja wa Mataifa umeonya kuwa watu laki tano na elfu 80 wako katika hatari ya kupoteza maisha kutokana na baa la njaa nchini Angola.