-
WHO: Watu zaidi ya 300 waaga dunia kwa homa ya manjano Angola
May 27, 2016 10:02Mripuko wa homa ya manjano nchini Angola umesababisha vifo vya watu zaidi ya 300 tangu mwezi Disemba mwaka jana, huku kesi za ugonjwa huo zikienea hadi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kenya na hata Uchina.
-
WHO: Chanjo ya homa ya manjano ni sharti kwa waendao Angola
Apr 26, 2016 23:03Shirika la Afya Duniani WHO limesema wasafiri wote wanaoenda nchini Angola wanahitaji kupata chanjo ya homa ya manjano ili kuthibitisha wamejikinga na kuzuia kuisambaza zaidi.
-
Angola; nchi ya kwanza kwa kuzalisha mafuta barani Afrika
Apr 17, 2016 23:44Angola hivi sasa imekuwa nchi ya kwanza inayozalisha mafuta kwa wingi barani Afrika.
-
Homa ya manjano yaua watu 158 nchini Angola
Mar 18, 2016 13:09Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza leo kuwa idadi ya watu waliofariki dunia kutokana na homa ya manjano nchini Angola imefikia 158.
-
Watu 24 waaga dunia katika mafuriko nchini Angola
Mar 03, 2016 10:38Kwa akali watu 24 wamepoteza maisha huku makumi ya wengine wakitoweka kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazonyesha nchini Angola.
-
Idadi ya wahanga wa homa ya manjano yapindukia 120 Angola
Feb 27, 2016 13:20Idadi ya wahanga wa homa ya manjano (Yellow Fever) nchini Angola imeongezeka na kupindukia 120.
-
Zaidi ya watu 50 wafariki dunia kwa homa ya manjano nchini Angola
Feb 15, 2016 11:55Mkuu wa idara ya taifa ya afya nchini Angola amesema kuwa, watu 51 wamefariki dunia katika kipindi cha chini ya miezi mwili katika nchi hiyo ya kusini mwa Afrika kutokana na homa ya manjano.