Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ansarullah

  • Ansarullah: US kuiasa China iingilie kadhia ya Bahari Nyekundu ni ishara ya kufeli

    Ansarullah: US kuiasa China iingilie kadhia ya Bahari Nyekundu ni ishara ya kufeli

    Feb 02, 2024 07:49

    Kiongozi wa Harakati ya Muqawama ya Ansarullah ya Yemen amesema juhudi za Washington za kutafuta usaidizi na upatanishi wa China ili iwaombe Wayemen wasimamishe mashambulizi dhidi ya meli za Marekani na Uingereza zinazopita Bahari Nyekundu zinaonesha namna madola hayo mawili ya kibeberu yalivyofeli katika mipango yao.

  • Safari za majini katika Ghuba ya Tumaini Jema zaongezeka kufuatia mashambulizi ya jeshi la Yemen katika Bahari Nyekundu

    Safari za majini katika Ghuba ya Tumaini Jema zaongezeka kufuatia mashambulizi ya jeshi la Yemen katika Bahari Nyekundu

    Jan 28, 2024 03:07

    Kufuatia mashambulizi yanayoendelea kufanywa na vikosi vya ulizi vya Yemen katika Bahari Nyekundu dhidi ya dhidi ya meli za utawala wa Kizayuni na za nchi waitifaki zinazoelekea upande wa ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina (Israel), meli nyingi sasa zimemua kukwepa Mfereji wa Suez na kuzunguka Ghuba ya Tumaini Jema (Cape of Good Hope) ya Afrika Kusini.

  • Upinzani wa China kwa hatua ya Marekani ya kuishambulia kijeshi Yemen

    Upinzani wa China kwa hatua ya Marekani ya kuishambulia kijeshi Yemen

    Jan 27, 2024 02:34

    Wang Wenbing, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China amesema, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa halijatoa kibali kwa mtu yeyote kutumia nguvu dhidi ya Yemen, akimaanisha hujuma na mashambulio ya kijeshi yanayofanywa na Marekani na Uingereza dhidi ya ngome na vituo vya harakati ya Ansarullah ya Yemen.

  • Ansarullah yaitaka UN iwaondoe Yemen wafanyakazi wake raia wa US, UK

    Ansarullah yaitaka UN iwaondoe Yemen wafanyakazi wake raia wa US, UK

    Jan 25, 2024 11:12

    Harakati ya Ansarullah imeziagiza Marekani na Uingereza ziwaondoea nchini Yemen raia wake wanaoufanyia kazi Umoja wa Mataifa katika mji mkuu wa nchi hiyo ya Kiarabu, Sana'a.

  • Iran yaikosoa US kwa kuiweka Ansarullah katika orodha ya 'ugaidi'

    Iran yaikosoa US kwa kuiweka Ansarullah katika orodha ya 'ugaidi'

    Jan 19, 2024 03:30

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali hatua ya Marekani ya kuiweka Harakati ya Ansarullah ya Yemen kwenye orodha ya kile inachokiita "makundi ya kigaidi" na kueleza kwamba, kitendo hicho ni katika mfululizo wa hatua za Washington za kuuunga mkono utawala wa kigaidi wa Israel.

  • Ansarullah ya Yemen: Ni fakhari kwetu kuitwa magaidi na utawala wa kigaidi wa Marekani kwa sababu ya Palestina

    Ansarullah ya Yemen: Ni fakhari kwetu kuitwa magaidi na utawala wa kigaidi wa Marekani kwa sababu ya Palestina

    Jan 18, 2024 06:43

    Ofisi ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen imetoa mjibizo kwa hatua ya Marekani ya kuiweka harakati hiyo kwenye orodha ya kile inachokiita "makundi ya kigaidi" na kueleza kwamba hatua hiyo ya Washington haina thamani wala itibari yoyote.

  • Ansarullah: Marekani haijafikia malengo yake kwa kuishambulia Yemen

    Ansarullah: Marekani haijafikia malengo yake kwa kuishambulia Yemen

    Jan 13, 2024 11:52

    Mkuu wa shirika la habari la Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema mashambulizi ya Marekani dhidi ya vituo vya makombora ya harakati hiyo ya muqawama hayajafanikiwa, na kwamba Washington imeshindwa kufikia malengo yake kwa hujuma hizo.

  • Ansarullah: Marekani na Uingereza zijiandae 'kulipa gharama kubwa' kwa kuishambulia Yemen

    Ansarullah: Marekani na Uingereza zijiandae 'kulipa gharama kubwa' kwa kuishambulia Yemen

    Jan 12, 2024 07:44

    Harakati ya Muqawama ya Ansarullah ya Yemen imezilaani vikali Marekani na Uingereza baada ya kufanya mashambulizi makali dhidi ya vituo vyake ndani ya Yemen, na kuonya kuwa vituo vya kijeshi vya nchi hizo vilivyoko katika eneo vitashambuliwa iwapo zitafanya uchokozi zaidi.

  • US, UK zashambulia vituo vya Ansarullah Yemen kwa sababu ya msimamo wake wa kuwahami Wapalestina

    US, UK zashambulia vituo vya Ansarullah Yemen kwa sababu ya msimamo wake wa kuwahami Wapalestina

    Jan 12, 2024 03:55

    Marekani na Uingereza zimeshambulia vituo kadhaa vya harakati ya Ansarullah kukabiliana na hatua ya harakati hiyo ya wananchi wa Yemen ya kuzishambulia meli zenye uhusiano na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, kwa sababu ya vita vya mauaji ya kimbari na ya halaiki unavyoendesha utawala huo dhalimu dhidi ya Wapalestina wa Gaza.

  • Ansarullah ya Yemen: Maji ya Kimataifa ni salama kwa meli zote isipokuwa za utawala wa Kizayuni wa Israel

    Ansarullah ya Yemen: Maji ya Kimataifa ni salama kwa meli zote isipokuwa za utawala wa Kizayuni wa Israel

    Dec 29, 2023 10:29

    Harakati ya Muqawama wa Kiiislamu ya Ansarullah ya Yemen imesisitiza kuwa njia za majini za kimataifa ni salama kwa meli zote, isipokuwa meli za utawala haramu wa Kizayuni wa Israel au zile zinazoelekea katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS