-
Polisi Nigeria yatumia mabomu kuvunja Arubaini ya Imam Hussein AS
Nov 11, 2017 03:13Polisi nchini Nigeria imetumia mabomu ya gesi ya kutoa machozi kuvunja matembezi ya amani ya waumini wa Kiislamu waliokuwa wakishiriki maombolezo ya Arubaini ya Imam Hussein (AS), mjukuu wa Mtume Muhammad (SAW) katika mji mkuu Abuja.
-
Wafanyaziara milioni mbili kutoka Iran waingia Iraq kwa ajili ya Arubaini ya Imam Hussein AS
Nov 06, 2017 09:10Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu nchini Iraq amesema hadi kufikia jana Jumapili Alasiri, wafanyaziara milioni mbili kutoka Iran walikuwa wameingia Iraq kwa ajili Arubaini ya Imam Hussein AS.
-
Arubaini ya Imam Husain AS katika Picha
Nov 05, 2017 10:54Waislamu kutoka kona mbalimbali za dunia wanazidi kumiminika Karbala kwa ajili ya Arubaini ya Imam Husain AS.
-
Jahangiri: Matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein AS ni nembo ya amani na ukombozi
Nov 21, 2016 03:01Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein AS ni nembo ya amani na ukombozi.
-
Wairani waungana na dunia katika kumbukumbu ya Arubaini ya Imam Hussein AS
Nov 20, 2016 08:17Wananchi wa matabaka yote wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wameungana na dunia katika kumbukumbu ya Arubaini ya Imam Hussein AS, mjukuu wa Mtume Muhammad SAW, aliyeuawa shahidi katika jangwa la Karbala nchini Iraq, mwaka wa 61 Hijria.
-
Washiriki wa Matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein AS watoa ujumbe kwa walimwengu
Nov 19, 2016 15:47Mamilioni ya watu wanashiriki katika matembezi ya kumbukumbu ya Siku ya Arubaini ya Imam Hussein AS ambapo pia wanatia saini waraka wenye ujumbe unaofafanua kuhusu mjumuiko huu mkubwa zaidi duniani.
-
Arubaini ya Sheikh Nimr yaadhimishwa kwa maandamano
Feb 12, 2016 08:16Arubaini ya Sheikh Nimr Baqir al-Nimr, mwanachuoni wa Kiislamu aliyeuawa shahidi na utawala wa Aal-Saud imeadhimishwa kwa maandamano ya maelfu ya watu nchini Saudi Arabia na Bahrain.