-
Mamlaka za Ghaza zairejeshea Israel miili 88 ya Wapalestina isiyo na 'utambulisho' wowote
Sep 26, 2024 05:12Mamlaka za Palestina katika Ukanda wa Ghaza zimeurejeshea utawala wa Kizayuni wa Israel kontena lililobeba miili ya Wapalestina 88 ambayo haitambuliki kutokana na kutoambatanishwa na taarifa zozote kuhusu utambulisho wao.
-
Safari ya kieneo ya Amir Abdollahian inayoangazia vita vya Gaza
Oct 13, 2023 11:37Huku utawala wa Kizayuni ukiendeleza hujuma na vita vyake vya jinai dhidi ya watu wasio na hatia wa Ukanda wa Gaza, Hossein Amirabdollahian, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anasisitiza ulazima wa kukomeshwa jinai hizo za Wazayuni kwa kufanya safari katika nchi kadhaa za eneo.
-
Serikali ya Iraq yasambaratisha genge la kigaidi mjini Baghdad
Sep 18, 2023 10:45Shirika la Usalama wa Taifa la Iraq limetangaza habari ya kusambaratishwa na kutiwa mbaroni kanali ya kigaidi katika mji mkuu wa nchi hiyo, Baghdad.
-
Duru mpya ya mazungumzo baina ya Iran na Saudia kufanyika hivi karibuni Baghdad, Iraq
Feb 10, 2023 02:26Waziri Mkuu wa Iraq ametangaza kuwa duru mpya ya mazungumzo kati ya Iran na Saudi Arabia itafanyika hivi karibuni mjini Baghdad.
-
Iran, makundi ya Iraq yalaani shambulizi dhidi ya uwanja wa ndege wa Baghdad
Jan 29, 2022 13:16Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na makundi maarufu ya Iraq yamelaani shambulizi la hivi karibuni la roketi kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Baghdad, wakisema hatua hizo za "kutiliwa shaka" zinalenga kuyumbisha usalama wa nchi hiyo.
-
Mkutano wa Baghdad, kiwango cha ushiriki na malengo yake
Aug 29, 2021 03:48Mkutano wa nchi jirani na Iraq umeanza leo Jumamosi tarehe 28 Agosti mjini Baghdad.
-
A'saaib Ahlil-Haq: Utawala wa Kizayuni na Marekani ndio waliohusika na mripuko wa Baghdad
Jul 21, 2021 07:53Katibu Mkuu wa harakati ya A'saaib Ahlil-Haq ameashiria njama za Marekani za kutaka kuliimarisha genge la DAESH(ISIS) nchini Iraq na akasema: katika kufanikisha jambo hilo, Washington inasaidiwa na mashirika ya intelijensia ya Israel na nchi za Kiarabu.
-
Ubalozi wa Marekani Baghdad washambuliwa kwa droni
Jul 06, 2021 08:16Baadhi ya duru za habari za Iraq zimetangaza habari ya kujiri shambulio la anga katika eneo la Kijani huko Baghdad na karibu na jengo la ubalozi wa Marekani.
-
Rais Barham Salih wa Iraq aamuru uchunguzi mlipuko wa hospitali ya wagonjwa wa corona, makumi wamefariki dunia
Apr 25, 2021 09:31Rais Barham Salih wa Iraq ametoa amri ya kufanyika uchunguzi kuhusiana na mlipuko uliotokea mapema leo katika Hospitali ya Ibn Khatib mjini Baghdad iliyotengwa kwa ajili ya wagonjwa wa corona. Makumi ya wagonjwa wameuawa katika ajali hiyo.
-
Moto waua watu 55 katika hospitali ya wagonjwa wa corona mjini Baghdad, Iraq
Apr 25, 2021 03:22Watu wasiopungua 55 wameaga dunia katika ajali ya moto iliyosababishwa na kuripuka mitungi ya oksijini kwenye hospitali moja ya wagonjwa wa corona katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad.