-
Yemen: Tunao uwezo wa "kuzizamisha" meli za adui katika Bahari Nyekundu, ya Arabia na Mediterania
Jan 28, 2024 06:38Yemen, ambayo imekuwa ikizishambulia meli zenye uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel ili kuwahami na kuwaunga mkono Wapalestina wa Ukanda wa Gaza wanaoandamwa na mashambulio ya kinyama ya utawala huo, imesema inao uwezo wa "kuzizamisha" meli za adui mahali popote katika Bahari Nyekundu, ya Arabia na Mediterania.
-
Kufa maji ni moja ya sababu kuu za vifo miongoni mwa vijana
Jul 26, 2022 07:22Shirika la Afya Duniani WHO limesema kuaga dunia kwa kuzama ni miongoni mwa sababu kuu za vifo miongoni mwa vijana wenye umri baina ya mwaka moja na 24 duniani.
-
UN: Umoja wa Ulaya unahusika katika vifo vya wahamiaji Bahari ya Mediterania
May 27, 2021 02:19Umoja wa Mataifa umesema kuwa Umoja wa Ulaya ni mhusirika katika vifo vya wahamiaji wanaoaga dunia mara kwa mara katika Bahari ya Mediterania wakiwa mbioni kelekea katika nchi za bara hilo.
-
Matukio ya Uturuki na mashariki mwa Mediterania
Aug 17, 2020 13:28Mawaziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Uturuki na Marekani wamekutana katika Jamhuri ya Dominican na kujadiliana kuhusu matukio ya eneo la mashariki mwa Bahari ya Mediterania na nchi ya Libya.
-
Juhudi za Uturuki za kuweko kijeshi katika nchi ya Libya
Jun 14, 2020 12:38Baada ya Uturuki kuwa na uingiliaji wa kijeshi katika masuala ya ndani ya Libya na kushiriki pakubwa katika vita vya niaba, sasa viongozi wa Ankara wanazungumzi suala la kuanzisha vituo viwili vya kijeshi katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Maafa ya wakimbizi yaendelea kushuhudiwa Bahari ya Mediterania
Oct 09, 2019 12:57Shirika la Kimataifa la Wahajiri (IOM) limetangaza katika ripoti yake ya hivi karibuni kwamba, maafa ya wahajiri yanaendelea kushuhudiwa katika maji ya Bahari ya Mediterania.
-
UNHCR: Zaidi ya wahajiri 1,000 wamekufa maji mwaka huu katika bahari ya Mediterania
Oct 02, 2019 04:37Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limetangaza kuwa, zaidi ya wahajiri 1,000 wamekufa maji mwaka huu katika bahari ya Mediterania wakiwa katika juhudi za kuelea barani Ulaya kutafuta maisha mazuri.
-
Wahajiri zaidi ya elfu mbili wameaga dunia katika bahari ya Mediterania mwaka 2018
Jan 04, 2019 16:25Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) limetangaza kuwa zaidi ya wahajiri elfu mbili wameaga dunia katika bahari ya Mediterania katika mwaka ulioisha wa 2018.
-
Malengo ya Saudi Arabia ya kuanzisha mfumo maalumu wa kisheria wa nchi za Bahari Nyekundu
Dec 14, 2018 06:31Serikali ya ukoo wa Aal Saud ya nchini Saudi Arabia imetangaza habari ya kuanzishwa mfumo maalumu wa kisheria wa nchi za Bahari Nyekundu.
-
Nduli wa mauaji ya Waislamu CAR apandishwa kizimbani ICC
Nov 24, 2018 02:46Alfred Yakatom, ambaye wakati fulani alijulikana kwa jina la Rambo kutokana na kufanya mauaji makubwa dhidi ya Waislamu huko Jamhuri ya Afrika ya Kati, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC akikabiliwa na mashtaka 14 ya jinai za kivita na jinai dhidi ya ubinadamu.