-
Wahajiri 466 waokolewa katika Bahari ya Mediterrania
Oct 01, 2018 02:38Idara ya Mabaharia wa Uhispania imetangaza kuwa, wahajiri 466 waliokuwa mbioni kuvuka Bahari ya Mediterrania na kuingia barani Ulaya wameokolewa wakiwa ndani ya boti kumi hafifu katika maji ya Uhispania.
-
Wahajiri 1,500 wameaga dunia katika bahari ya Mediterania mwaka 2018
Jul 28, 2018 08:05Kwa mwaka wa tano mfululizo wahajiri wasiopungua 1,500 wameaga dunia katika bahari ya Mediterania huku njia ya baharini kati ya Libya na Italia ikitajwa kuwa ya hatari zaidi ambapo mtu mmoja huaga dunia kati ya 19 wanaotumia njia hiyo.
-
IOM: Zaidi ya wahajiri 1000 wamekufa mwaka huu katika Bahari ya Mediterania
Jul 02, 2018 14:01Shirika la Kimataifa la Uhajiri (IOM) limetangaza kuwa, zaidi ya wahajiri 1000 wamefariki dunia katika Bahari ya Mediterania tangu ulipoanza mwaka huu wa 2018.
-
Russia yatuma manowari zake mbili zilizobeba makombora ya cruise kwenye pwani ya Syria
Jun 19, 2018 07:36Jeshi la Russia limetangaza kuwa manowari mbili za jeshi hilo zilizobeba makombora aina ya cruise zimetumwa kuelekea bahari ya Mediterania na pwani ya Syria.
-
IOM: Wahajiri zaidi ya elfu 3 wameaga dunia mwaka huu katika Bahari ya Mediterania
Nov 29, 2017 08:17Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limesema wahajiri zaidi ya elfu tatu wamefariki dunia au kutoweka katika maji ya Bahari ya Mediterania wakiwa katika safari hatarishi za kuelekea barani Ulaya, tangu mwanzoni mwa huu hadi sasa.
-
Askari wa gadi ya pwani nchini Italia waokoa wahajiri 700
Nov 04, 2017 07:48Askari wa gadi ya pwani nchini Italia wametangaza kwamba Ijumaa ya jana waliwaokoa wahajiri 700 katika bahari ya Mediterranea.
-
UNHCR: Libya, imekuwa njia ya mauati ya maelfu ya wahajiri wanaotaka kuelekea Ulaya
Jul 04, 2017 12:35Kamisheni Kuu ya Wakimbizi ya Umoja wa Mataif (UNHCR) imetangaza kuwa, Libya ndiyo njia inayosababisha mauti na vifo vingi zaidi vya wakimbizi wanaotaka kuelekea Ulaya kupitia Bahari ya Mediterania.
-
Manowari ya Ireland yaokoa wahajiri 712 karibu na Libya
Jun 26, 2017 16:08Manowari moja ya Ireland imewaokoa watu 712 wakiwemo akinamama wajawazito na watoto wachanga katika pwani ya mji mkuu wa Libya, Tripoli.
-
Makumi ya wahajiri wahofiwa kufa maji pwani ya Libya
Jun 11, 2017 14:09Makumi ya wahajiri wanahofiwa kufa maji baada ya boti yao kuzama mashariki mwa Tripoli, mji mkuu wa Libya.
-
Wahajiri haramu 4400 waokolewa katika maji ya Mediterranean siku mbili pekee
May 20, 2017 07:24Duru za habari nchini Libya zimetangaza kuwa kikosi cha gadi ya pwani ya Libya na Italia kimefanikiwa kuokoa karibu wahajiri haramu 400 katika kipindi cha siku mbili kutoka katika maji ya bahari ya Mediterranean.