-
Wahajiri zaidi ya 250 wahofiwa kufariki dunia katika bahari ya Mediterania
Mar 24, 2017 04:34Zaidi ya wahajiri 250 wanaaminika kuwa wamezama baharini baada ya mitumbwi miwili waliyokuwa wakisafiria kugunduliwa na boti ya uokozi katika pwani ya Libya.
-
Wahajiri wengine 120 wa Kiafrika waokolewa katika pwani ya Libya
Feb 05, 2017 14:17Kikosi cha ulinzi katika pwani ya Libya kimearifu kuwa wahajiri zaidi ya 120 wameokolewa majini karibu na bandari ya Tripoli kaskazini magharibi mwa nchi hiyo.
-
Wahajiri wengine 1,300 waokolewa katika bahari ya Mediterania
Feb 04, 2017 07:36Vikosi vya doria katika pwani ya Italia vimetangaza kuwa vimewaokoa wahajiri 1,300 katika bahari ya Mediterania.
-
Wahajiri 219 wamezama katika Bahari ya Mediterranea
Jan 18, 2017 04:09Wahajiri na wakimbizi wapatao 219 wamezama katika Bahari ya Mediterranea katika wiki mbili za kwanza za mwaka 2017 hii ikiwa ni mara mbili zaidi ya kipindi sawa na hiki mwaka jana.
-
Wahajiri zaidi ya 100 wahofiwa kufa maji Bahari ya Mediterranea
Jan 15, 2017 14:47Makumi ya wahajiri wanahofiwa kupoteza maisha baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kwenda bara Ulaya kuzama katika Bahari ya Mediterranea.
-
UN: Wajiri elfu tano wamekufa maji wakieleka Ulaya mwaka huu 2016
Dec 23, 2016 16:23Shirika la Kimataifa la Uhajiri (IOM) limesema wakimbizi na wahajiri wapatao 5,000 wamepoteza maisha mwaka huu wa 2016 wakijaribu kuingia barani Ulaya kupitia Bahari ya Mediterranea.
-
Wahajiri wanne waaga dunia katika Bahari ya Kati (Mediterranean)
Dec 07, 2016 15:45Maafisa husika wa Morocco wameeleza kuwa wahajiri wanne wameaga dunia baada ya kuzama boti yao iliyokuwa imebeba makumi ya wahajiri katika maji ya bahari ya Mediterania kati ya Morocco na Uhispania.
-
Wahajiri zaidi ya 200 waokolewa katika bahari ya Mediterania
Dec 04, 2016 03:16Wahajiri zaidi ya 200 wamenusurika kufa maji baada ya kuokolewa katika bahari ya Mediterania.
-
Zaidi ya wahajiri 240 wamefariki dunia siku tatu zilizopita katika bahari ya Mediterenia
Nov 17, 2016 07:30Zaidi ya wahajiri 240 wamefariki dunia au kutoweka katika bahari ya Mediterenia huku wengine 580 wakiokolewa kutoka kwenye boti zilizofurika wahajiri hao haramu.
-
Wahajiri 239 wafariki dunia pwani ya Libya wakielekea Ulaya
Nov 03, 2016 16:25Umoja wa Mataifa umesema wahajiri 239 wali0kuwa wakielekea barani Ulaya wamepoteza maisha baada ya boti zao kuzama katika pwani ya Libya.