Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Bahrain

  • Palestina: Jumanne ni 'Siku Nyeusi' kwa ulimwengu wa Kiarabu

    Palestina: Jumanne ni 'Siku Nyeusi' kwa ulimwengu wa Kiarabu

    Sep 15, 2020 02:58

    Waziri Mkuu wa Palestina amesema ulimwengu wa Kiarabu leo Jumanne utashuhudia 'Siku Nyeusi' katika historia yake, kutokana na hafla itakayofanyika hii leo katika Ikulu ya White House ya Marekani ya kutiwa saini rasmi makubaliano ya kufanywa wa kawaida uhusiano wa nchi mbili za Kiarabu na utawala haramu wa Israel.

  • Sayyid Hakim: Kamwe Iraq haiwezi kuwa na uhusiano wa kawaida na Israel

    Sayyid Hakim: Kamwe Iraq haiwezi kuwa na uhusiano wa kawaida na Israel

    Sep 14, 2020 02:03

    Kiongozi wa mrengo wa kitaifa wa al-Hikma nchini Iraq amesema katu taifa hilo la Kiarabu haliwezi kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.

  • Dkt. Velayati: Kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel ni khiyana kwa wananchi wa Palestina

    Dkt. Velayati: Kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel ni khiyana kwa wananchi wa Palestina

    Sep 13, 2020 22:11

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Mwamko wa Kiislamu amelaani hatua ya Bahrain ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel na kusisitiza kuwa, hatua hiyo ni upuuzaji na khiyana kwa malengo ya wananchi madhulumu wa Palestina.

  • Machaguo iliyonayo Palestina kwa ajili ya kukabiliana na kuanzishwa uhusiano na Israel

    Machaguo iliyonayo Palestina kwa ajili ya kukabiliana na kuanzishwa uhusiano na Israel

    Sep 13, 2020 22:06

    Baada ya Imarati na Bahrain kuutambua rasmi utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na kuwa tayari kuanzisha uhusiano wa kawaida wa kidiplomasia na utawala huo ghasibu unaoikalia Quds tukufu kwa mabavu, suali linaloulizwa hivi sasa ni, hatua gani Palestina inaweza kuchukua kwa ajili ya kukabiliana na mwenendo huo?

  • Picha za watawala wa Bahrain na Imarati zachomwa moto Ghaza, Palestina

    Picha za watawala wa Bahrain na Imarati zachomwa moto Ghaza, Palestina

    Sep 13, 2020 03:11

    Wakazi wa Ukanda wa Ghaza huko Palestina wamechoma moto picha za watawala wa Bahrain na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) kutokana na nchi hizo mbili za Kiarabu kutangaza uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Iran: Kuanzisha uhusiano na Israel ni fedheha na kujidhalilisha

    Iran: Kuanzisha uhusiano na Israel ni fedheha na kujidhalilisha

    Sep 12, 2020 07:01

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imekosoa hatua ya kuanzishwa uhusiano rasmi wa kidiplomasia kati ya Bahrain na utawala haramu wa Israel na kusisitiza kuwa, kitendo hicho ni cha fedheha na kudhalilisha.

  • Mapatano ya Aal Khalifa na utawala wa Kizayuni, chachu ya mapambano ya wananchi wa Bahrain

    Mapatano ya Aal Khalifa na utawala wa Kizayuni, chachu ya mapambano ya wananchi wa Bahrain

    Sep 12, 2020 06:31

    Ikiwa umepita karibu mwezi mmoja tangu Imarati na utawala wa Kizayuni wa Israel zifikie mapatano ya kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia, Rais Doald Trump wa Marekani ametangaza kwamba Bahrain na utawala wa Kizayuni pia zimekubaliana kuanzisha uhusiano kama huo.

  • Sheikh Issa Qassem: Wafuatao nyayo za Imam Hussein AS wanakabiliana na mtihani mkubwa

    Sheikh Issa Qassem: Wafuatao nyayo za Imam Hussein AS wanakabiliana na mtihani mkubwa

    Aug 30, 2020 03:09

    Kiongozi wa juu wa kidini wa Waislamu wa madhehebu ya Shia wa nchini Bahrain amesema, kupambana na ufanyaji mapatano na Israel ni mfano mmojawapo wa mapambano ya Imam Hussein AS dhidi ya Yazid.

  • Safari ya Mike Pompeo kusini mwa Ghuba ya Uajemi na kukaririwa madai yasiyo na msingi wowote

    Safari ya Mike Pompeo kusini mwa Ghuba ya Uajemi na kukaririwa madai yasiyo na msingi wowote

    Aug 28, 2020 01:59

    Marekani daima ikiwa na lengo la kuendeleza uwepo wake wa kijiopolitiki katika eneo la Ghuba ya Uajemi imekuwa ikitumia vizingizio visivyokuwa na maana hususan kupiga kwake ngoma ya kueneza chuki chidi ya Iran.

  • Wabunge wa Ufaransa wataka Bahrain ifutilie mbali hukumu ya kunyongwa vijana wawili wa nchi hiyo

    Wabunge wa Ufaransa wataka Bahrain ifutilie mbali hukumu ya kunyongwa vijana wawili wa nchi hiyo

    Jul 28, 2020 06:56

    Wabunge wa Ufaransa wameuandikia barua utawala wa Aal Khalifa wa Bahrain wakiutaka ufutilie mbali hukumu ya kunyongwa vijana wawili wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS