-
Sheikh Isa Qassim: Uislamu unahujumiwa nchini Bahrain
Jul 28, 2020 00:12Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Bahrain Sheikh Isa Ahmed Qassim ametahadharisha kuhusu njama zinazofanywa na maadui kwa ajili ya kupotosha na kuhariibu sura safi ya Uislamu na kusema kuwa, dini ya Uislamu inahujumiwa na kushambuliwa nchini Bahrain.
-
Jumuiya 16 za kimataifa zaiandikia barua Bahrain na kuitaka isiwanyonge raia
Jul 23, 2020 08:30Jumuiya 16 za kimataifa zimemuandikia barua mfalme wa Bahrain Hamad bin Isa bin Salman al-Khalifa zikimtaka azuie utekelezaji wa adhabu ya kifo dhidi ya vijana wawili kwa kosa la kuwashambulia polisi.
-
Sheikh Isa Qassim asisitiza kuendelezwa muqawama Bahrain kukabiliana na utawala wa Aal Khalifa
Jul 22, 2020 23:46Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Bahrain amesema, wanaowanyima na kuwazuia wananchi wa Bahrain haki yao ya kulalamika ni watu wajeuri na wachokozi na akasisitiza kwamba, muqawama wa wananchi hao wa kukabiliana na utawala wa Aal Khalifa ungali unaendelea.
-
Abdollahian: Utawala wa Aal-Khalifa uimarishe uhusiano wa Wabahrain, si Israel
Jul 14, 2020 03:36Mshauri wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) katika masuala ya kimataifa ameukosoa vikali utawala wa Aal-Khalifa wa Bahrain kwa kukanyaga haki za binadamu za raia wa nchi hiyo.
-
Malengo ya madai yasiyo na msingi ya Bahrain dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Jul 01, 2020 03:19Abdullatif bin Rashid al Zayani, waziri wa mambo ya nje wa utawala wa ukoo wa Aal Khalifa nchini Bahrain amesema katika mkutano na waandishi wa habari alioufanya kwa pamoja na Brian Hook, mjumbe maalumu wa serikali ya Marekani katika masuala ya Iran kwamba eti Iran inaingilia masuala ya ndani ya nchi za eneo hili ikiwemo Bahrain.
-
Uchunguzi wabaini biashara ya utumwa wa ngono katika Jeshi la Majini la Marekani
Jun 21, 2020 06:08Uchunguzi uliofanyika katika Jeshi la Majini la Marekani umebaini kundi moja la wanamaji wa nchi hiyo limeanzisha biashara ya wanawake wanaotumiwa katika masuala ya ngono.
-
Bahrain; hukumu mbili za kifo katika siku moja
Jun 16, 2020 22:08Mahakama ya juu ya Bahrain tarehe 15 Julai ilitoa hukumu ya kunyongwa vijana wawili wa nchi hiyo kwa kutegemea ushahidi bandia
-
Bahrain yashinikizwa iwaachilie huru wafungwa wa kisiasa wanawake
Mar 09, 2020 07:58Jumuiya ya ‘Amani Kwa Ajili ya Demokrasia na Haki za Binadamu’ imewataka viongozi wa Bahrain kutambua haki za wanawake na hivyo kuwaachilia huru wafungwa wote wa kisiasa wanawake ambao wanashikiliwa kwa kosa kueleza mitazamo yao ya kisiasa au kuwa ni wanaharakati wa haki za binadamu.
-
Kuanza tena uhusiano wa posta kati ya Misri, Saudi Arabia, Bahrain na Qatar
Feb 25, 2020 09:57Katika hatua yao mpya Misri, Saudi Arabia na Bahrain zimeamua kuanza tena kutoa huduma za posta kwa Qatar.
-
Kesi za kwanza za Corona zaripotiwa Iraq, Kuwait, Bahrain na Afghanistan
Feb 24, 2020 21:52Iraq, Kuwait, Bahrain na Afghanistan zimeripoti kesi za kwanza za ugonjwa unaosababishwa na virusi vya Corona katika nchi hizo za eneo la Asia Magharibi.