-
Sheikh Abdul-Amir Qabalan: Mkutano wa Bahrain ni khiana kwa Palestina
Dec 12, 2019 08:38Mkuu wa Baraza Kuu la Kiislamu la Mashia wa Lebanon ameulaani mkutano wa Bahrain na juhudi za kutaka kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel na kusema hatua yoyote ya kutaka kuanzisha uhusiano na Israel ni khiana kwa historia ya Uislamu na ardhi za Palestina.
-
Bahrain yamkosoa Amir wa Qatar kwa kutohudhuria kikao cha Riyadh
Dec 11, 2019 09:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Bahrain ameitaja hatua ya Amir wa Qatar ya kutoshiriki kikao cha wakuu wa nchi wanachama wa Baraza la ushirikiano la Ghuba ya Uajemi huko Riyadh Saudi Arabia kuwa ni ishara ya kutokuwa na azma Doha ya kuhitimisha mgogoro baina yake na nchi nne za Kiarabu.
-
Jumuiya ya Al-Wifaq: Bahrain imegeuzwa na kuwa jela kubwa
Nov 15, 2019 04:28Jumuiya ya Mwafaka wa Kiislamu na Kitaifa nchini Bahrain (Al Wifaq) imetangaza kuwa, hatua za utawala wa nchi hiyo wa Aal Khalifa zimeigeuza Bahrain na kuwa jela kubwa.
-
Kuwait yazifikishia Saudia na Bahrain ujumbe wa amani kutoka Iran
Nov 06, 2019 04:25Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Kuwait Khaled al-Jarallah amesema nchi yake imezifikishia Saudi Arabia na Bahrain ujumbe wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wa kutaka amani katika eneo la Ghuba ya Uajemi.
-
HAMAS yalaani utawala wa Kizayuni wa Israel kushirikishwa katika mkutano wa Bahrain
Oct 20, 2019 23:09Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imelaani vikali kualikwa na kushirikishwa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika mkutano wa usalama wa baharini unaotazamiwa kufanyika nchini Bahrain, ikisisitiza kwamba hatua hiyo inakinzana na misimamo ya umma wa Waarabu.
-
Utawala wa Bahrain wawakamata wanazuoni wa Kishia
Sep 07, 2019 22:05Utawala wa kiimla wa Bahrain umewakamata wanazuoni kadhaa wa Kiislamu wa madhehebu ya Shia katika mwezi huu wa Muharram.
-
Bahrain yaukingia kifua tena utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Hizbullah ya Lebanon
Sep 02, 2019 08:45Kwa mara nyingine tena aila ya Aal Khalifa inayotawala Bahrain imeutetea na kuunga mkono utawala wa Kizayuni wa Israel kufuatia kipigo cha ulipizaji kisasi ulichopata utawala huo haramu jana Jumapili kutoka kwa wanamapambano wa Muqawama wa Kiislamu wa Lebanon, Hizbullah.
-
Al Wifaq: Waziri wa Mambo ya Nje wa Bahrain ni muovu zaidi kuliko Wazayuni
Aug 28, 2019 06:31Jumuiya ya Mwafaka wa Kiislamu na Kitaifa nchini Bahrain (Al Wifaq) imesema kuwa msimamo wa Waziri wa Mambo ya Nje wa utawala wa Aal Khalifa wa kutetea mashambulizi ya utawala wa Kizayuni Israel dhidi ya nchi za Kiislamu na Kiarabu ni muovu na usio wa kuwajibika.
-
Bahrain yaunga mkono mashambulio ya anga ya Israel dhidi ya Lebanon na Iraq
Aug 27, 2019 02:46Waziri wa Mambo ya Nje wa Bahrain amesema, mashambulio ya kivamizi yaliyofanywa hivi karibuni na ndege zisizo na rubani za utawala wa Kizayuni wa Israel katika maeneo kadhaa ndani ya Lebanon na Iraq ni aina mojawapo ya kujihami na ameonesha kuunga mkono hatua hiyo ya utawala huo haramu.
-
Utawala wa Bahrain unapanga mikakai ya kuwafuta kazi walimu wa Kishia
Aug 26, 2019 07:32Duru za habari nchini Bahrain zimeripoti kuwa, utawala wa Aal Khalifa nchini humo unapanga mikakati ya kuwatimua maelfu ya walimu Waislamu wa madhehebu ya Shia wa nchi hiyo.