-
Abbas Mousavi: Mazungumzo ya JCPOA kati ya Iran na Ulaya hayajafikia natija
Aug 19, 2019 03:44Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria mwenendo wa mazungumzo ya Iran na madola ya Ulaya kuhusiana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kusema kuwa, mazungumzo kuhusiana na uwajibikaji wa Ulaya katika JCPOA hadi sasa hayajawa na natija.
-
Bunge la Ulaya lalaani kunyongwa wanaharakati wa kisiasa Bahrain
Aug 17, 2019 02:21Wabunge kadhaa wa Bunge la Ulaya wamelaani hatua ya utawala wa Bahrain ya kuwanyonga wanaharakati wa kisiasa nchini humo.
-
Bahrain yamzuia mkosoaji wa utawala wa Aal Khalifa kwenda nje ya nchi kwa matibabu
Aug 16, 2019 23:11Utawala wa Bahrain umemzuia mbunge wa zamani wa nchi hiyo kwenda nje ya nchi kwa matibabu; hiyo ikiwa ni sehemu ya mlolongo wa vizingiti na mibinyo iliyowekwa na utawala wa Aal Khalifa kwa wanasiasa na wanaharakati wanaotetea demokrasia nchini humo.
-
Saudi Arabia na Bahrain, "makuwadi wa kisiasa" wa Marekani
Aug 09, 2019 03:43Marekani imekuwa ikiitisha vikao na mikutano kwa shabaha ya kutangaza sera zake za kueneza propaganda chafu dhidi ya Iran na sasa vikao hivyo vinafanyika katika nchi ndogo ya Bahrain.
-
Jumuiya ya Al-Wifaq: Kuna wafungwa elfu tano wa kisiasa nchini Bahrain
Aug 08, 2019 08:31Jumuiya ya Kitaifa na Kiislamu nchini Bahrain ya Al-Wifaq imetangaza kuwa kuna wafungwa elfu tano wa kisiasa wanaoshikiliwa kwenye magereza ya nchi hiyo.
-
Msimamo wa Kiongozi Muadhamu kuhusu jinai za utawala wa Bahrain
Jul 31, 2019 11:11Ofisi ya Kulinda na Kusambaza Athari za Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu imetangaza msimamo wa Ayatullah Ali Khamenei kuhusu jinai zinazofanywa na utawala wa Aal Khalifa huko Bahrain baada ya utawala huo kuwaua shahidi vijana wawili wa nchi hiyo kwa tuhuma bandia.
-
Mkuu wa Muungano wa al Fat'h asema, watawala wa Bahrain watakumbwa na hatima kama ya Saddam na Gaddafi
Jul 28, 2019 11:21Mwenyekiti wa Muungano wa al Fat'h nchini Iraq amesema kuwa hatua ya utawala wa Bahrain ya kuwanyonga vijana wawili wa nchi hiyo kwa tuhuma bandia ina maana ya mwisho wa utawala wa ukoo wa Aal Khalifa sawa kabisa na hatima iliyowapata madikteta walioangamizwa wa Iraq na Libya.
-
Mamia ya Wabahrain wamevuliwa uraia katika nusu ya kwanza tu ya mwaka huu wa 2019
Jul 24, 2019 07:08Kituo cha haki za binadamu nchini Bahrain kimetoa taarifa na kutangaza kuwa katika nusu ya kwanza ya mwaka huu wa 2019 raia 334 wa nchi hiyo wamenyang'anywa uraia na utawala wa kiimla wa ukoo wa Aal Khalifa.
-
Hamas: Waziri wa Mambo ya Nje wa Bahrain ameisaliti Palestina
Jul 20, 2019 03:17Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imekosoa vikali kitendo cha Waziri wa Mambo ya Nje wa Bahrain, Khalid bin Ahmad bin Muhammad Aal Khalifa cha kukukata na kufanya mazungumzo hadharani na mwenzake wa utawala haramu wa Israel, Israel Katz nchini Marekani.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Bahrain akiri kuanzishwa uhusiano wa nchi yake na Israel
Jul 18, 2019 21:59Waziri wa Mambo ya Nje wa Bahrain amekariri tena madai yake kwamba kuanzishwa uhusiano wa nchi hiyo na utawala haramu wa Israel ndio 'msingi wa amani halisi' katika eneo la Asia Magharibi.