-
Balozi wa utawala wa Kizayuni atimuliwa Colombia
Jun 24, 2024 07:04Balozi wa Israel ametimuliwa nchini Colombia baada ya Bogota kuvunja uhusiano wake wa kidiplomasia na utawala wa Kizayuni kutokana na mashambulizi na jinai zisizokwisha za Israel dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina hasa wa Ukanda wa Ghaza.
-
Saudia yateua balozi wake nchini Syria baada ya zaidi ya muongo mmoja
May 27, 2024 11:57Saudi Arabia imetangaza kuteua balozi wake mpya nchini Syria ikiwa ni balozi wake wa kwanza baada ya zaidi ya muongo mmoja tangu ilipositisha uhusiano wake na serikali yar ais Bashar al-Assad.
-
Balozi wa Russia UN: Mashambulizi ya Magharibi dhidi ya Yemen ni kinyume cha sheria
May 15, 2024 06:08Balozi wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa mashambulizi ya muungano wa nchi za Magharibi unaoongozwa na Marekani dhidi ya Yemen yamekiuka Mkataba wa Umoja wa Mataifa na hayana uhalali wowote.
-
Imarati na Qatar katika mkondo wa kupanua mahusiano
Jul 25, 2023 11:44Amir wa Qatar amemteua Sultan Salmeen Saeed Al-Mansouri kuwa balozi wa mpya wa nchi hiyo katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
-
Kuchomwa moto Qur'ani Tukufu, balozi wa Sweden atimuliwa Iraq
Jul 21, 2023 02:40Serikali ya Iraq imemfukuza balozi wa Sweden mjini Baghdad kulalamikia serikali ya nchi hiyo ya Ulaya Magharibi ya kuruhusu kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu.
-
Juhudi za nchi za Kiafrika za kukabiliana na ukiritimba wa nchi za Ulaya
Apr 10, 2023 02:32Baada ya Mali na Burkina Faso kuwafukuza mabalozi wa Ufaransa, majuzi Chad ilimpa balozi wa Ujerumani muda wa masaa 48 kuwa ameondoka nchini humo.
-
Bunge la Jordan lapasisha pendekezo la kutimuliwa balozi wa Israel mjini Amman
Mar 22, 2023 12:34Wawakilishi wa Bunge la Jordan wamepigia kura ya ndio pendekezo la kufukuzwa balozi wa utawala haramu wa Israel huko Amman wakilalamikia na kupinga hatua ya waziri wa fedha katika serikali ya mrengo wa kulia ya Israel, ambaye alizua utata mapema wiki hii.
-
Sana'a: Uingereza sababu kuu ya uvamizi Yemen
Jan 22, 2023 11:18Waziri Mkuu wa Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen ameeleza kuwa, Uingereza si tu haiwezi kusaidia kupunguza mateso na masaibu ya kiuchumi ya wananchi wa Yemen bali nchi hiyo ni sehemu kuu ya njama ya kuvamiwa nchi hiyo.
-
Walebanon wataka kutimuliwa balozi wa Saudi Arabia mjini Beirut
Nov 02, 2022 13:39Wananchi wa Lebanon wametoa mwito wa kutimuliwa nchini humo balozi wa Saudi Arabia wakimtuhumu kwamba, amekuwa akiingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo.
-
Israel yamfuta kazi balozi wake anayetuhumiwa kuwabaka wanawake nchini Morocco
Sep 16, 2022 07:40Utawala haramu wa Israel umelazimika kumfuta kazi balozi wake wa nchini Morocco anayekabiliwa na kashfa za ngono na kuwanyanyasa kijinsia wanawake wa nchi hiyo ya Kiarabu.