-
Rais Pezeshkian: Baraza Kuu la UN ni fursa adhimu ya kubainisha misimamo yetu
Sep 23, 2025 07:19Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuhusiana na mipango na malengo ya safari yake ya New York ya kuhudhuria mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa: "tutatangaza misimamo yetu kwa kuzingatia amani na usalama katika Umoja wa Mataifa."
-
Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa: Hali ya Ghaza haikubaliki, vita lazima vikome
Sep 23, 2025 06:30Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Annalena Baerbock ameuambia mkutano wa suluhisho la mataifa mawili uliofanyika makao makuu ya umoja huo jana Jumatatu: "nchi-dola huru ya Palestina lazima ianzishwe".
-
Kwa nini Tel Aviv inaogopa kutambuliwa rasmi nchi huru ya Palestina?
Sep 22, 2025 11:20Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limejiweka kwenye hali ya tahadhari kukabiliana na matukio yanayoweza kutokea baada ya baadhi ya nchi za Magharibi kuitambua rasmi nchi huru ya Palestina.
-
Je, dunia mara hii ina nia ya kufanikisha kuasisiwa nchi huru ya Palestina?
Sep 13, 2025 11:22Katika hatua ya kihistoria, Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio lililopendekezwa na Ufaransa na Saudi Arabia, na kutangaza kuunga mkono kuanzishwa kwa nchi huru la Palestina na kutekelezwa njia ya ufumbuzi wa serikali mbili.
-
Kupitishwa maazimio mawili katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu vita vya Gaza na UNRWA
Dec 13, 2024 14:49Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, limepitisha kwa wingi wa kura maazimio mawili yanayotoa wito wa kusitishwa mara moja vita vya Gaza na pia kuunga mkono shughuli za Shirika la Misaada na Ajira kwa Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA).
-
Rais wa Iran ahitimisha safari yake ya siku tatu ya mazungumzo ya kidiplomasia mjini New York, UN
Sep 26, 2024 07:21Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ambaye alisafiri kwenda mjini New York kushiriki katika kikao cha 79 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA), ameondoka mjini humo usiku wa kuamkia leo kurejea Tehran baada ya siku tatu za mikutano na mashauriano ya kina ya kidiplomasia aliyofanya huko.
-
Tuhuma na misimamo ya kurudiwarudiwa ya Marekani kwa ulimi wa Joe Biden katika Umoja wa Mataifa
Sep 26, 2024 03:58Jumanne ya wiki hii, rais wa Marekani, Joe Biden, alitoa hotuba yake ya mwisho katika kikao cha 79 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York na kukariri madai ya uongo ya siku zote dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na dhidi ya kambi ya Muqawama. Rais wa Marekani alidai kuwa eti serikali yake inapigania kuleta amani na utulivu katika ukanda wa Asia Magharibi.
-
Balozi wa Iran UN: Maghala ya nyuklia ya Israel ni tishio kubwa kwa amani na usalama wa dunia
Sep 05, 2024 10:43Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema, silaha za nyuklia za utawala wa Kizayuni wa Israel ni tishio kubwa kwa amani na usalama wa kikanda na wa ulimwengu mzima.
-
Bagheri Kani na Rais wa Baraza Kuu la UN wajadili mauaji ya Gaza
Jul 16, 2024 07:44Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuna udharura wa kuchukuliwa hatua za kivitendo ili kukomesha jinai zinazofanywa na utawala ghasibu wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Wito wa Umoja wa Mataifa kuhusu usitishaji vita wa kudumu huko Gaza na onyo la kuenea mapigano
Nov 30, 2023 09:43Siku ya Jumanne, ikiwa ni siku ya tano ya usitishaji vita wa muda huko Gaza, Umoja wa Mataifa ulifanya vikao viwili, kimoja katika Baraza Kuu kuhadili vita kati ya Israel na Hamas na kingine katika Baraza la Usalama kuhusu hali ya Mashariki ya Kati na Syria, ambapo vikao vyote viwili vilizungumzia kuenea mapigano katika eneo na kusisitiza juu ya udhrura wa kutekelezwa usitishaji vita wa kudumu.