Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Bashar al Assad

  • Bashar al Assad: Mustakbali wa Syria unatia matumaini

    Bashar al Assad: Mustakbali wa Syria unatia matumaini

    Dec 10, 2019 07:55

    Rais wa Syria ameitaja Ulaya, Marekani na baadhi ya nyingine nyingine kuwa pande kuu husika katika kuibua machafuko na ukosefu wa amani huko Syria na kusema mustakbali wa nchi yake unatia matumaini.

  • Assad: Asante ya Trump kwa Syria kuhusu kuuliwa al Baghdadi ni mzaha

    Assad: Asante ya Trump kwa Syria kuhusu kuuliwa al Baghdadi ni mzaha

    Nov 28, 2019 01:21

    Rais wa Syria amehoji mchezo wa maonyesho unaofanywa na Marekani kuhusu kuuawa kiongozi wa kundi la kigaidi la Daesh na kueleza kuwa: Madai ya Marekani kwamba Syria ilishiriki katika mauaji hayo ni moja ya mizaha ya Rais Donald Trump wa Marekani.

  • Rais Bashar al-Assad: Syria katu haitagawanywa

    Rais Bashar al-Assad: Syria katu haitagawanywa

    Nov 16, 2019 02:45

    Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema: Serikali ya Damascus haitaafiki kwa namna yoyote ile Syria igawanywe.

  • Sisitizo la Rais Bashar al-Assad la kulindwa ardhi yote ya Syria

    Sisitizo la Rais Bashar al-Assad la kulindwa ardhi yote ya Syria

    Nov 02, 2019 04:17

    Rais Bashar al-Assad wa Syria ameionya Uturuki na kuikosoa Marekani na kuzungumzia uwezekano wa Washington wa kuliunda tena kundi la kigaidi la Daesh na akasisitiza juu ya kulindwa ardhi yote ya nchi hiyo.

  • Bashar al Assad: Wanajeshi vamizi wamelikalia kwa mabavu eneo la kaskazini mwa Syria

    Bashar al Assad: Wanajeshi vamizi wamelikalia kwa mabavu eneo la kaskazini mwa Syria

    Oct 19, 2019 02:39

    Rais wa Syria amesema kuwa wanajeshi vamizi wa nchi za kigeni wamelikalia kwa mabavu eneo la kaskazini mwa Syria na kusisitiza kuwa kuna ulazima wanajeshi hao kuondoka katika eneo hilo.

  • Bashar Assad: Syria itajibu kisheria mashambulizi ya Uturuki

    Bashar Assad: Syria itajibu kisheria mashambulizi ya Uturuki

    Oct 18, 2019 03:27

    Rais Bashar al Assad wa Syria amesema hadi sasa nchi yake imeshatoa jibu kwa mashambulizi ya Uturuki na magaidi waitifaki wa Uturuki na kuongeza kuwa Syria itatumia uwezo wake wote wa kisheria kujibu mashambulizi dhidi yake.

  • Israel: Hatimaye Rais Bashar al Assad wa Syria ameshinda baada ya miaka 8 ya vita

    Israel: Hatimaye Rais Bashar al Assad wa Syria ameshinda baada ya miaka 8 ya vita

    Oct 17, 2019 13:30

    Gazeti la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, Haaretz sambamba na kukiri ushindi wa Rais Bashar al Assad wa Syria katika mgogoro wa miaka minane wa nchi hiyo, limeandika kuwa, viongozi wa Marekani, Israel na Uturuki ndio wanaopaswa kulaumiwa kuhusu suala hilo.

  • Rais Bashar al-Assad wa Syria atoa amri ya msamaha kwa wote

    Rais Bashar al-Assad wa Syria atoa amri ya msamaha kwa wote

    Sep 16, 2019 08:06

    Rais Bashar al-Assad wa Syria ametoa amri ya msamaha kwa watuhumiwa ambao hawakufanya jinai kama za kuua watu nchini humo.

  • Rais Bashar al-Assad: Syria itasimama pamoja na Iran kuvikabili vitisho vya Marekani

    Rais Bashar al-Assad: Syria itasimama pamoja na Iran kuvikabili vitisho vya Marekani

    Jul 16, 2019 03:28

    Rais Bashar al-Assad wa Syria amesisitiza kwamba nchi yake itasimama pamoja na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuvikabili vitisho vya Marekani.

  • Bashar al Assad: Matatizo ya Mashariki ya Kati yanatokana na siasa mbovu za Marekani

    Bashar al Assad: Matatizo ya Mashariki ya Kati yanatokana na siasa mbovu za Marekani

    Apr 17, 2019 03:07

    Rais Bashar al Assad wa Syria amesema kuwa, moja ya sababu kuu za ukosefu wa amani Mashariki ya Kati ni siasa mbovu za Marekani za kuingilia masuala ya ndani ya nchi za eneo hili.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS