-
Trump atahadharishwa na hatua ya kuuhamishia ubalozi wa Marekani Baitul Muqaddas
Nov 13, 2016 16:41Mwakilishi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa amemtahadharisha rais mteule wa Marekani Donald Trump na kutekeleza ahadi aliyotoa ya kuuhamishia katika mji mtukufu wa Baitul Muqaddas ubalozi wa nchi hiyo ulioko Tel Aviv, Israel.
-
Siku ya Quds, Siku ya kuikomboa Baitul Muqaddas
Jun 29, 2016 07:48Idadi kadhaa ya wanazuoni na wanasiasa wa Ulimwengu wa Kiislamu wameitaja Siku ya Kimataifa ya Quds kuwa ni Siku ya kuikomboa Baitul Muqaddas na kuwaunga mkono waliodhulumiwa.
-
Bunge la Kiarabu lataka kuundwa nchi ya Palestina
May 30, 2016 15:28Bunge la Kiarabu limeutaka Umoja wa Mataifa uhakikishe inaundwa nchi ya Palestina mji wake mkuu ukiwa ni Baitul- Muqaddas. Bunge la Kiarabu limetoa wito huo katika kikao kilichofanyika katika makao makuu ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu huko Cairo, Misri.