-
Sarajevo Safari: Kuwinda wanadamu kwa ajili ya kujifurahisha
Nov 29, 2025 04:47Karibuni kutupia jicho kipindi chetu cha wiki hii cha Makala ya Wiki kinachobeba kichwa cha maneno: 'Sarajevo Safari'. Ni kipindi kinachohusu mojawapo ya ukatili wa kutisha na usiozungumziwa sana wa vita vya Bosnia; Ni tukio maarufu la "Sarajevo Safari" ambapo matajiri wa kigeni wa nchi za Magharibi waliwapiga risasi watu raia wasio na ulinzi kutoka juu ya vilima vinavyozunguka jiji la Sarayevo kwa ajili ya burudani, kujifurahisha, na kupata msisimko, mkabala wa kutoa pesa.
-
UN yatahadharisha: Bosnia inakabiliwa na hatari ya vita na kugawanyika
Nov 03, 2021 07:42Mjumbe wa Umoja wa Mataifa kwa ajili ya Bosnia Hezregovina ametahadharisha kuwa nchi hiyo inakabiliwa na hatari ya vita na kugawanyika.
-
Zarif: Mauaji ya kimbari ya Waislamu wa Srebrenica yalitokana na Ulaya kufeli kutekeleza wajibu wake
Jul 12, 2020 03:37Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mauaji ya kimbari ya maelfu ya Waislamu wa Srebrenica yalifanyika kutokana na Ulaya kufeli kutekeleza majukumu yake ya msingi.
-
Erdogan apinga hatua ya Swedish Royal Academy kumpa Handke tuzo ya fasihi ya Nobel
Dec 11, 2019 07:47Rais Recep Tayyep Erdegan wa Uturuki mepinga vikali hatua ya taasisi ya Royal Academy nchini Sweden ya kumtunuku mwandishi wa Austria, Peter Handke tuzo ya fasihi ya Nobel akisisitiza kuwa kufanya hivyo ni kuenzi na kupongeza ukiukaji wa haki za binadamu.
-
Mwaka wa 23 wa kumbukumbu ya mauaji ya Srebrenica; nembo nyingine ya fedheha ya haki za binadamu za Magharibi
Jul 12, 2018 07:15Katika kumbukumbu ya mwaka wa 23 wa mauaji ya Waislamu wa Bosnia katika mji wa Srebrenica zaidi ya watu 6,000 wameshiriki katika matembezi ya 'Mars Mira' na kufika katika kijiji cha Potocari ambacho ndicho kituo cha kumbukumbu ya wahanga wa mauaji hayo ya halaiki.
-
Waislamu wa Bosnia wazika mabaki ya wenzao 35 waliouawa Srebrenica
Jul 11, 2018 13:45Maelfu ya Waislamu wa Bosnia Herzegovina wamekusanyika hii leo katika mji wa Srebrenica kuadhimisha miaka 23, tangu yafanyike mauaji mabaya zaidi ya umati katika nchi hiyo ya Ulaya, baada ya Vita vya Pili vya Dunia.
-
Mladic, aliyeongoza mauaji ya Waislamu 8,000 Bosnia ahukumiwa kifungo cha maisha jela
Nov 22, 2017 16:26Mahakama ya Kimataifa ya Yugoslavia ya Zamani ICTY yenye makao yake mjini The Hague nchini Uholanzi imemhukumu kifungo cha maisha jela Jenerali Ratko Mladic, aliyekuwa kamanda wa kijeshi wa Serbia baada ya kupatikana na hatia ya kuagiza kuuawa maelfu ya Waislamu huko Srebrenica mwaka 1995.
-
Iran na Bosnia Herzegovina kuimarisha uhusiano
Oct 25, 2016 16:27Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Mwenyekiti wa Baraza la Urais wa Bosnia Herzegovina wamesisitiza kuhusu kuimarishwa uhusiano wa pande mbili katika nyanja mbali mbali hasa katika sekta ya uchumi.
-
Mauaji ya Waislamu wa Srebrenica yakumbukwa
Jul 11, 2016 16:59Maelfu ya watu leo wameshiriki katika shughuli ya kukumbuka maelfu ya Waislamu wa Srebrenica waliouawa kinyama na Waserbia wa Bosnia Herzegovina miaka kadhaa iliyopita.
-
Waislamu Bosnia walaani adhabu hafifu aliyopewa Karadzic
Mar 25, 2016 15:53Waislamu huko Bosnia Herzegovina wamebainisha kusikitishwa na kifungo cha miaka 40 tu jela alichohukumiwa Radovan Karadzic aliyekuwa kiongozi wa zamani wa Bosnia Serbia ambaye amepatikana na hatia ya kuua Waislamu 7,000.