-
SAUTI, Burundi yakumbwa na uhaba mkubwa wa mafuta, foleni ndefu zashuhudiwa vituo vya mafuta
Apr 09, 2018 13:31Vituo vya mafuta nchini Burundi vimeendelea kushuhudia foleni ndefu za watu wanaohitajia nishati hiyo huku wananchi wakiililia serikali ili iingilie kati kumaliza uhaba huo wa mafuta.
-
Hali ya Burundi yatiliwa wasiwasi na Baraza la Usalama la UN
Apr 07, 2018 03:05Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeeleza wasiwasi wake kuhusiana na hali ya kisiasa nchini Burundi sambamba na ukosefu wa irada thabiti ya kisiasa ya kuupatia ufumbuzi mgogoro uliopo.
-
SAUTI, Wafuasi wa dini ya Binti Zebiya na raia wa Burundi, warejeshwa makwao kutoka Rwanda, wakiwa na lawama
Apr 02, 2018 10:43Raia wa Burundi zaidi ya 1600 waliokuwa wakiishi kwa muda nchini Rwanda wamerejea nchini Burundi huku wakiwa na malalamiko mbalimbali dhidi ya maafisa usalama wa Rwanda.
-
Burundi yatangaza Mei 17 kuwa tarehe ya kura ya maoni
Mar 18, 2018 23:47Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi ametangaza Mei 17 kuwa tarehe ya kufanyika kura ya maoni ya kuifanyia mabadiliko katiba ya nchi.
-
Maelfu ya wakimbizi wa Burundi wahamia Rwanda kutoka Congo DR
Mar 08, 2018 04:48Wakimbizi elfu mbili na mia tano wa Burundi wameingia katika nchi ya Rwanda wakitokea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
-
SAUTI, Tume ya Haki za Binaadamu Burundi yakosoa vikali hatua ya kushushwa hadhi yake na Umoja wa Mataifa
Mar 06, 2018 12:27Tume ya Kitaifa ya Haki za Binaadam nchini Burundi (CNIDH) imeshushwa hadhi na Baraza la Haki za Binaadamu la Umoja wa Mataifa kwa kile kilichotajwa kuwa imeshindwa kushirikiana vilivyo na baraza hilo.
-
Burundi yakasirishwa na ripoti ya Umoja wa Mataifa dhidi yake
Feb 23, 2018 11:05Serikali ya Burundi imetoa taarifa mpya ya kukosoa ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusiana na hali ya kibinaadamu nchini humo.
-
UN: Thuluthi moja ya Warundi wanahitaji misaada ya kibinadamu
Feb 21, 2018 04:10Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) limesema mtu mmoja kwa kila raia watatu wa Burundi atahitaji misaada ya kibinadamu mwaka huu, hilo likiwa ni ongezeko la asilimia 20 ikilinganishwa na mwaka jana 2017.
-
SAUTI, Serikali ya Burundi yapiga marufuku kuwanyanya raia kwa kutumia zoezi la uandikishaji majina ya wapiga kura
Feb 16, 2018 01:18Huku zoezi la uandikishaji majina ya wapiga kura katika daftari la kudumu la wapiga kura nchini Burundi likikaribia kumalizika, baadhi ya ripoti zinaarifu kuwepo vitendo vilivyo kinyume na sharia kuhusiana na zoezi hilo.
-
SAUTI, Uandikishaji majina ya wapigakura Burundi ili kushiriki kura ya maoni 2020 utakaomsafishia njia Rais Nkurunziza waanza
Feb 08, 2018 12:10Nchini Burundi, leo kumezinduliwa zoezi la uorodheshaji wa majina ya wapiga kura katika daftari la kudumu kuelekea kura ya maoni hapo baadaye.