-
SAUTI, Serikali ya Burundi yaanza kuwaondosha ombaomba mitaani, nao waitaka serikali iwape pesa ya kujikimu
Feb 06, 2018 12:25Serikali ya Burundi kupitia Wizara ya Mshikamano Kitaifa, imeanzisha zowezi la kuwaondowa watoto wa barabarani maarufu kama ombaomba katika dhamira ya kumaliza tatizo hilo.
-
Wapinzani wa serikali ya Burundi wakutana kuunganisha nguvu zao
Jan 30, 2018 13:18Wapinzani wa serikali ya Burundi walioko nje ya nchi wameanzisha jitihada za kuunda kambi na muungano dhidi ya serikali ya Rais Pierre Nkurunziza wa nchi hiyo.
-
Raia elfu 7 wa Kongo wakimbilia Burundi ndani ya siku tatu
Jan 27, 2018 04:07Maelfu ya raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamekimbilia nchi jirani ya Burundi kwenda kutafuta hifadhi katika kipindi cha siku tatu zilizopita.
-
Burundi yatoa mwito wa kuimarisha uhusiano wa kibiashara na Iran
Dec 17, 2017 04:32Mkuu wa Jumuiya ya Biashara na Viwanda ya Burundi ametoa mwito wa kuimarishwa uhusiano wa kibiashara wa nchi hiyo ya Kiafrika na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi afungua mashindano ya baskeli ya Afrika Mashariki na Kati
Dec 12, 2017 04:49Jumuiya ya Afrika Mashariki imeandaa mashindano ya baskeli nchini Burundi yaliyitishwa kamaishara ya amani nchini humo. Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza ambaye pia ni mshiriki wa mashindano hayo ndiye aliyeyazindua. Mwandishi wetu Hamida Issa na maelezo zaidi:
-
Wakimbizi wa Burundi nchini Tanzania wanakabiliwa na hali mbaya: UNHCR
Dec 01, 2017 12:59Maelfu ya wakimbizi wa Burundi wanaishi katikia hali mbaya kwenye kambi za wakimbizi nchini Tanzania kwa sababu ya uhaba wa fedha. hayo yamesemwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR.
-
Mazungumzo ya Burundi kuanza Jumanne mjini Arusha Tanzania + Sauti
Nov 27, 2017 14:39Mazungumzo ya kusaka amani nchini Burundi yataanza Jumanne wiki hii mjini Arusha Tanzania chini ya upatanishi wa Rais Mstaafu wa Tanzania Benjamini Mkapa. Hata hivyo kumekuwa na misimamo tafauti huku baadhi wakiunga mkono mazungumzo hayo; na wengine wakisema majadiliano hayo hayana umuhimu. Mwandishi wetu wa Bujumbura Hamida Issa ametutumia ripoti ifuatayo.
-
Duru mpya ya mazungumzo ya Burundi kuanza leo Arusha, Tanzania
Nov 26, 2017 23:32Duru mpya ya mazungumzo ya amani ya Burundi inaanza leo Jumatatu huko Arusha, kaskazini mwa Tanzania, na itaendelea hadi Disemba 8.
-
Umoja wa Mataifa waikosoa Burundi kwa kutishia maafisa wake
Nov 21, 2017 23:35Ofisi ya masuala ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa imeikosoa vikali serikali ya Burundi kwa kuwatishia wataalamu wa uchunguzi wa umoja huo.
-
Kutolewa kibali kwa ajili ya kufanyika uchunguzi kuhusu machafuko nchini Burundi
Nov 12, 2017 01:03Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imetoa kibali cha kuruhusu kufanywa uchunguzi kuhusu machafuko na uwezekano wa kutendwa jinai dHidi ya binadamu huko Burundi huku serikali ya nchi hiyo ikipinga uamuzi huo na kusisitiza kuwa Burundi kamwe haitashirikiana na mahakama hiyo.