-
Magufuli na Museveni walaani uamuzi wa ICC kuhusu Burundi
Nov 11, 2017 12:24Marais wa Tanzania na Uganda wamelaani uamuzi ulitolewa na Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC), ambayo imemuagiza Mwendesha Mashtaka wake, Fatou Bensouda kuanzisha uchunguzi wa vitendo vya kihalifu dhidi ya binadamu vilivyotokea nchini Burundi.
-
Burundi yakataa mpango wa ICC wa kuchunguza jinai za kivita nchini humo
Nov 10, 2017 11:12Serikali ya Burundi imekataa mpango wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) wa kutaka kuanzishwa uchunguzi wa jinai za kivita na ukatili uliofanyika nchini humo katika kipindi cha miaka miwili iliyopita.
-
ICC kuchunguza jinai zilizofanyika nchini Burundi
Nov 10, 2017 01:24Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imetoa kibali cha kuanzishwa uchunguzi wa jinai na ukatili uliofanyika nchini Burundi licha ya nchi hiyo kujiondoa katika mkataba uliounda mahakama hiyo mwezi uliopita.
-
Burundi yachukua hatua ya kurefusha kipindi cha urais wa Nkurunziza
Oct 28, 2017 12:11Baraza la mawaziri la Burundi limeunga mkono mabadiliko ya katiba ambayo yatamruhusu rais wa sasa wa nchi hiyo kubakia madarakani hadi mwaka 2034, suala ambalo limeitumbukiza zaidi nchi hiyo katika mgogoro wa kisiasa.
-
DRC yafunga radio iliyokosoa mauaji ya wakimbizi wa Burundi
Sep 30, 2017 04:43Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imesimamisha matangazo ya radio moja inayomilikiwa na Chama cha Wafanyabiashara wa Burundi, kwa kukosoa mauaji ya wakimbizi Warundi waliouawa hivi karibuni na wanajeshi wa DRC.
-
UN yaafiki kuendelea na uchunguzi wake kuhusu Burundi
Sep 29, 2017 10:50Tume ya haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa leo Ijumaa imepitisha azimio jipya kuhusu nchi ya Burundi baada ya uchunguzi uliobaini kuwa mauaji, utesaji na ukamataji wa raia umekuwa ukiendelea nchini humo.
-
Serikali ya Kongo DR yaanza uchunguzi kuhusu mauaji ya wakimbizi wa Burundi
Sep 18, 2017 09:39Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imesema kuwa imeanza kuchunguza mauaji ya makumi ya wakimbizi wa Burundi waliouliwa nchini humo.
-
Askari wa Kongo washambuliana na wakimbizi wa Burundi, makumi ya wakimbizi wauawa
Sep 16, 2017 09:26Mapigano yamejiri kati ya wakimbizi wa Burundi na askari wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, mashariki mwa nchi hiyo na kusababisha maafa ya makumi ya wakimbizi na wengine kujeruhiwa.
-
Wakimbizi 300 waanza kurejea Burundi kutoka Tanzania
Sep 07, 2017 03:16Awamu ya kwanza ya wakimbizi wa Burundi wanaorejea kwa hiari kutoka Tanzania wanatarajiwa kuwasili nchini mwao leo.
-
Burundi yakanusha ripoti ya UN inayoituhumu kukiuka haki za binadamu
Sep 06, 2017 03:18Serikali ya Burundi imekanusha vikali ripoti iliyotolewa Jumatatu iliyopita na Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa, inayoielekezea kidole cha lawama maafisa usalama kwa mauaji, jinai na ukiukaji wa haki za binadamu unaoshuhudiwa nchini humo tangu mwaka 2015.