Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Burundi

  • Uchunguzi wa Umoja wa Mataifa kuhusiana na jinai dhidi ya binadamu nchini Burundi

    Uchunguzi wa Umoja wa Mataifa kuhusiana na jinai dhidi ya binadamu nchini Burundi

    Sep 05, 2017 09:11

    Sambamba na kuendelea mgogoro wa kisiasa nchini Burundi, Umoja wa Mataifa umeanzisha uchunguzi kuhusiana na jinai dhidi ya binadamu na vitendo vya utumiaji mabavu vilivyofanywa na viongozi wa serikali ya nchi hiyo dhidi ya raia.

  • Vijana 6 wa Burundi watoweka wakiwa Marekani

    Vijana 6 wa Burundi watoweka wakiwa Marekani

    Jul 22, 2017 03:24

    Taarifa kutoka vyombo vya usalama nchini Marekani zinabaini kwamba vijana sita kutoka Burundi waliokuwa wakishiriki katika mashindano ya roboti nchini nchini humo wametoweka na hawajulikani waliko. Taarifa hizo hazijathibitishwa na serikali ya Burundi.

  • Mlipuko wa guruneti waikumba Bujumbura, watu kadhaa wajeruhiwa

    Mlipuko wa guruneti waikumba Bujumbura, watu kadhaa wajeruhiwa

    Jul 17, 2017 02:14

    Watu kadhaa wamejeruhiwa katika mlipuko uliotokea Bujumbura mji mkuu wa Burundi.

  • Watu 8 wauawa na 50 kujeruhiwa katika shambulio la guruneti Burundi

    Watu 8 wauawa na 50 kujeruhiwa katika shambulio la guruneti Burundi

    Jul 10, 2017 22:39

    Watu wanane wameuawa na wengine hamsini wamejeruhiwa katika kijiji kimoja mkoani Kayanza kaskazini mwa Burundi juzi jioni. Pierre Nkurikiye Msemaji wa Polisi ya Burundi amesema kuwa watu wanne waliaga dunia papo hapo katika eneo la tukio na wengine wanne walifariki kwa majeraha waliyopata katika shambulio hilo la guruneti.

  • SAUTI, Tume ya Kitaifa ya Haki za Binaadamu Burundi yasema, hali ya kibinaadamu nchini imeboreka sana

    SAUTI, Tume ya Kitaifa ya Haki za Binaadamu Burundi yasema, hali ya kibinaadamu nchini imeboreka sana

    Jul 08, 2017 06:02

    Tume ya kitaifa haki za binaadamu nchini Burundi imesema kuwa, hali ya haki za binaadam imezidi kuboreka siku hadi siku nchini.

  • Rais Nkurunziza wa Burundi apokea vitambulisho vya balozi mpya wa Iran

    Rais Nkurunziza wa Burundi apokea vitambulisho vya balozi mpya wa Iran

    Jul 01, 2017 23:44

    Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi amepokea vitmabulisho vya Murtadha Murtadhawi, Balozi mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambaye si mkazi.

  • SAUTI, Michel Kafando: Nimefurahishwa na hatua ya Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi kunikubali kuwa msuluhishi

    SAUTI, Michel Kafando: Nimefurahishwa na hatua ya Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi kunikubali kuwa msuluhishi

    Jun 29, 2017 12:48

    Michel Kafando, Mjumbe mpya wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Burundi, amefanya ziara mjini Bujumbura kwa ajili ya kukutana kwa mara ya kwanza na viongozi wa nchi hiyo.

  • SAUTI, Viongozi wa Kiislamu Burundi wakosoa tamko la serikali la kutomtambua mke zaidi ya mmoja, wataka marekebisho

    SAUTI, Viongozi wa Kiislamu Burundi wakosoa tamko la serikali la kutomtambua mke zaidi ya mmoja, wataka marekebisho

    Jun 19, 2017 12:36

    Viongozi wa Kiislamu nchini Burundi wamewataka Waislamu wa nchi hiyo kushikamana na mafundisho ya dini yao hususan katika suala la kuoa zaidi ya mke mmoja ambalo linaonekana kupigwa marufuku na serikali.

  • UN: Jeshi la Burundi linatesa na kuua wapinzani wa serikali

    UN: Jeshi la Burundi linatesa na kuua wapinzani wa serikali

    Jun 15, 2017 12:42

    Wachunguzi wa Umoja wa Mataifa wametangaza kuwa, jeshi la serikali ya Burundi linaendelea kuteka nyara, kutesa na kuua wananchi bila ya kuchukuliwa hatua yoyote.

  • Burundi yachukua hatua kudhibiti mmomonyoko wa maadili miongoni mwa vijana

    Burundi yachukua hatua kudhibiti mmomonyoko wa maadili miongoni mwa vijana

    May 26, 2017 22:17

    Serikali ya Burundi imewaagiza watu wote hususan vijana wanaoishi kinyumba kuhalalisha na kusajili ndoa zao kufikia mwishoni mwa mwaka huu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS