-
EU yakataa ombi la Museveni na Magufuli la kuiondolea vikwazo Burundi
May 21, 2017 23:54Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania amekataa ombi la marais wa Tanzania na Uganda la kuutaka umoja huo uifutie vikwazo Burundi.
-
SAUTI: Uhaba wa fuel nchini Burundi umeendelea kushuhudiwa, licha ya juhudi za serikali ya nchi hiyo kufanyika bila mafanikio
May 09, 2017 12:52Na nchini Burundi uhaba wa fuel kwa ajili ya vyombo vya usafiri umeendelea kushuhudiwa licha ya serikali ya Bujumbura kuchukua hatua kadhaa ikiwemo kupitisha sharia mpya za ugavi wa nishati hiyo.
-
SAUTI: Waandishi Burundi walalamikia wanavyobanwa, mazingira hatari na ukosefu wa usalama kazini
May 04, 2017 13:34Mkuu wa kituo cha waandishi habari nchini Burundi amesema, maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari yanafanyika wakati waandishi nchini humo wakifanya kazi katika hali ya woga kiasi kwamba katika kipindi cha miaka miwili ya mzozo wa nchi hiyo uhuru wa vyombo vya habari umebakia katika maandishi na si katika vitendo. Maelezo zaidi na mwandishi wa Bujumbura, Hamida Issa...
-
Mchakato wa kisiasa Burundi wazidi kugonga mwamba
Apr 25, 2017 03:49Burundi inaelekea kuathiriwa tena na mgogoro wa kisiasa licha kufanyika juhudi za kikanda na kimataifa za kuupatia ufumbuzi mgogoro wa nchi hiyo.
-
SAUTI, Burundi: Wapiganaji wa Kagame ndio walioitungua ndege aliyoipanda Cyprien Ntaryamira, rais wa zamani wa nchi yetu
Apr 07, 2017 10:37Serikali ya Burundi imeadhimisha hapo jana mwaka wa 23 tangu kuuawa kwa Cyprien Ntaryamira, rais wa zamani wa nchi hiyo.
-
UN: Idadi ya waliopoteza maisha kutokana na malaria Burundi yapindukia 4000
Mar 29, 2017 22:42Umoja wa Mataifa umesema kuwa, idadi ya watu walioaga dunia kutokana na mripuko wa ugonjwa wa malaria nchini Burundi imeongezeka na kupindukia watu 4000, tangu mwanzoni mwa mwaka huu hadi sasa.
-
SAUTI, Burundi: Hatutakubali ripoti ya Tume ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binaadam dhidi yetu kwani ni njama
Mar 23, 2017 13:36Tume ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binaadam imekusudia kuanzisha uchunguzi juu ya ukiukaji haki za binaadamu nchini Burundi kupitia nchi za jirani zilowapokea wakimbizi wa taifa hilo.
-
UN yalalamikia utendaji wa serikali ya Burundi kuhusu haki za binadamu
Mar 15, 2017 13:03Umoja wa Mataifa umeilalamikia serikali ya Burundi kwa kutoshirikiana na umoja huo katika kuchunguza suala la haki za binadamu nchini humo.
-
Malaria yaua watu 700 ndani ya miezi miwili nchini Burundi
Mar 15, 2017 03:52Serikali ya Burundi imetangaza kuwa watu 700 wameaga dunia kutokana na ugonjwa wa malaria katika kipindi cha miezi miwili iliyopita nchini humo.
-
UN: Mgogoro wa kisiasa na hali ya kibinadamu Burundi vinatia wasi wasi
Mar 10, 2017 23:05Umoja wa Mataifa umeeleza wasiwasi wake kuhusu hali ya kibinadamu na mgogoro wa kisiasa nchini Burundi na kutadharisha kuwa mambo yanazidi kuwa mabaya katika nchi hiyo ya Kiafrika.