Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Burundi

  • Asasi ya kiraia Burundi: Tuna wasi wasi wa hatma ya watu waliotoweka

    Asasi ya kiraia Burundi: Tuna wasi wasi wa hatma ya watu waliotoweka

    Feb 25, 2017 10:48

    Asasi za kiraia nchini Burundi zimeonyesha wasi wasi wao juu ya hatma ya watu waliotoweka katika kipindi cha mgogoro wa kisiasa nchini humo.

  • SAUTI, Waswahili wa Burundi: Tumenyanyaswa kwa zaidi ya miaka 100, Burundi imegeuka na kuwa mali ya Watutsi na Wahutu pekee

    SAUTI, Waswahili wa Burundi: Tumenyanyaswa kwa zaidi ya miaka 100, Burundi imegeuka na kuwa mali ya Watutsi na Wahutu pekee

    Feb 21, 2017 15:13

    Jamii ya Waswahili nchini Burundi inailalamikia serikali ya nchi hiyo kwamba, imekuwa ikiwatenga kwa zaidi ya miaka 100 sasa kuweza kushiriki katika masuala ya kimaendeleo, kisiasa na kijamii.

  • Ombi la Burundi kwa serikali ya Tanzania la kuwakamata wapinzani wake

    Ombi la Burundi kwa serikali ya Tanzania la kuwakamata wapinzani wake

    Feb 19, 2017 23:20

    Katika hali ambayo juhudi za kuondokana na mgogoro wa kisiasa nchini Burundi bado zinaendelea, serikali ya Bujumbura imeiomba Tanzania kuwatia mbaroni wapinzani wake ambao wanaosakwa na mahakama za nchi hiyo, ambao kwa hivi sasa wako kaskazini mwa Tanzania.

  • Burundi yaitaka serikali ya Tanzania iwatie mbaroni wapinzani

    Burundi yaitaka serikali ya Tanzania iwatie mbaroni wapinzani

    Feb 18, 2017 23:12

    Serikali ya Burundi imeitaka Tanzania iwatie mbaroni wapinzani hao ambao wanashiriki kikao cha mazungumzo ya amani huko kaskazini mwa Tanzania huku wakiwa wanatafutwa na mahakama ya nchi hiyo kwa kuhusika na mapinduzi yaliyofeli.

  • Waswahili wa Burundi walalamikia kutengwa katika mazungumzo ya amani ya Arusha

    Waswahili wa Burundi walalamikia kutengwa katika mazungumzo ya amani ya Arusha

    Feb 18, 2017 12:52

    Wakati mazungumzo ya kusaka amani nchini Burundi yakifikia tamati Jumamosi ya leo mjini Arusha, kaskazini mwa Tanzania, makundi mbalimbali ya kijamii kutoka Burundi yametoa wito wa kutaka kushirikishwa katika mchakato huo wa kuupatia ufumbuzi mgogoro huo wa kisiasa.

  • Serikali ya Burundi kutoshiriki mazungumzo ya amani, Tanzania

    Serikali ya Burundi kutoshiriki mazungumzo ya amani, Tanzania

    Feb 16, 2017 04:30

    Serikali ya Burundi imesema haitoshiriki katika mazungumzo ya kujaribu kuutafutia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo yanayotazamiwa kuanza hii leo nchini Tanzania.

  • Umoja wa Mataifa: Watetezi wa haki za binadamu wanakandamizwa nchini Burundi

    Umoja wa Mataifa: Watetezi wa haki za binadamu wanakandamizwa nchini Burundi

    Feb 09, 2017 00:58

    Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuhusiana na vitendo vya ukandamizaji dhidi ya watetezi wa haki za binadamu huko nchini Burundi.

  • UN Yaikosoa Burundi kwa kupiga marufuku asasi za kiraia

    UN Yaikosoa Burundi kwa kupiga marufuku asasi za kiraia

    Feb 07, 2017 00:51

    Jopo la wataalamu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa limelaani marufuku na kusimamishwa kwa muda kwa asasi za kiraia, iliyotolewa hivi karibuni na serikali ya Burundi.

  • Kuongezeka mivutano kati ya Umoja wa Ulaya na Burundi

    Kuongezeka mivutano kati ya Umoja wa Ulaya na Burundi

    Jan 28, 2017 09:04

    Hali ya mvutano kati ya Burundi na Umoja wa Ulaya ingali inaendelea na sasa serikali ya Bujumbura imeutuhumu umoja huo kuwa unakiuka mamlaka ya kitaifa ya nchi hiyo.

  • Burundi: Bunge la EU linaongozwa na chuki na limekiuka haki yetu ya kujitawala

    Burundi: Bunge la EU linaongozwa na chuki na limekiuka haki yetu ya kujitawala

    Jan 27, 2017 10:37

    Serikali ya Burundi imesema kuwa, bunge la Umoja wa Ulaya limekiuka haki ya kujitawala taifa hilo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS