SAUTI: Waandishi Burundi walalamikia wanavyobanwa, mazingira hatari na ukosefu wa usalama kazini
May 04, 2017 13:34 UTC
Mkuu wa kituo cha waandishi habari nchini Burundi amesema, maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari yanafanyika wakati waandishi nchini humo wakifanya kazi katika hali ya woga kiasi kwamba katika kipindi cha miaka miwili ya mzozo wa nchi hiyo uhuru wa vyombo vya habari umebakia katika maandishi na si katika vitendo. Maelezo zaidi na mwandishi wa Bujumbura, Hamida Issa...
Tags