-
WFP yapunguza mgao wa chakula katika oparesheni zake nchini Burundi
Mar 26, 2025 02:40Ongezeko kubwa la wakimbizi wanaohitaji msaada limesababisha mashinikizo makubwa kwa oparesheni ya usambazaji misaada ya chakula ya Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa (WFP).
-
Amnesty: Rais wa Burundi anakanyaga haki za binadamu
Aug 21, 2024 02:57Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema katika ripoti yake mpya kwamba, Burundi imeshuhudia vitendo vya ukiukaji wa haki za binadamu katika kipindi cha miaka minne ya utawala wa Rais wa nchi hiyo, Evariste Ndayishimiye.
-
Burundi yafunga mpaka wake na Rwanda baada ya shambulio la waasi
Jan 12, 2024 07:20Burundi imetangaza kuwa imefunga mpaka wake na Rwanda kuanzia jana Alkhamisi kwa muda usiojulikana.
-
Ripoti ya UN: Wanajeshi wa Burundi zaidi ya 1,000 watumwa kwa siri mashariki mwa Kongo
Dec 31, 2023 07:43Ripoti ya Umoja wa Mataifa ambayo haijachapishwa iliyonaswa na shirika la habari la Reuters inaeleza kuwa wanajeshi wa Burundi zaidi ya 1,000 wametumwa kwa siri mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo tangu mwezi Oktoba mwaka huu.
-
Rais wa Burundi ataka mabadharuli wapigwe mawe hadharani
Dec 30, 2023 11:16Rais Evariste Ndayishimiye wa Burundi ametoa mwito wa kupigwa mawe hadharani watu wanaojihusisha na ushoga na uhusiano wa watu wenye jinsia moja.
-
Wahanga wa shambulio la waasi huko Gatumba, Burundi wazikwa
Dec 27, 2023 03:35Wananchi wa Burundi jana Jumanne walijawa na majonzi na vilio wakati watu 19 waliouawa katika shambulio la waasi wa RED- Tabara Ijumaa iliyopita huko Gatumba, wilaya ya Mutimbuzi, jimbo la Bujumbura, kwenye mpaka wa Burundi na Kongo walipozikwa.
-
Waziri Mkuu wa zamani wa Burundi ahukumiwa kifungo cha maisha jela
Dec 09, 2023 06:00Mahakama ya Juu ya Burundi imemhukumu waziri mkuu wa zamani Alain-Guillaume Bunyoni kifungo cha maisha jela baada ya kumpata na hatia ya makosa kadhaa.
-
Visa vya utesaji watu Burundi vyaitia hofu UN, yataka hatua zichukuliwe
Nov 26, 2023 02:24Kamati ya Baraza la Umoja wa Mataifa la Haki za Binadamu dhidi ya Utesaji, CAT imetamatisha kikao chake cha 78 mjini Geneva, Uswisi kwa kutoa mahitimisho ya ripoti za mataifa sita ikiwemo Burundi ambayo inaonesha wasiwasi juu ya utekelezaji wa Mkataba wa Kimataifa dhidi ya Mateso na adhabu za kikatili zisizoheshimu utu.
-
Matukio ya Kiislamu wiki hii na Harith Subeit + Sauti
Mar 04, 2023 03:54Matukio ya Kiislamu wiki hii yamejumuisha maeneo tofauti ya Afrika Mashariki na Kati. Yameandaliwa na mwandishi wetu Harith Subeit. Ingia kwenye Sauti kusikiliza ripoti hiyo iliyo na matukio tofauti ya Kiislamu wiki hii.
-
Waasi 40 wa Burundi wauawa mashariki mwa Kongo DR
Nov 28, 2022 07:16Makumi ya waasi raia wa Burundi wameuawa katika operesheni ya pamoja ya wanajeshi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Burundi mashariki mwa DRC.