-
Burundi yafungua mipaka yake na Rwanda baada ya miaka 5
Oct 24, 2022 04:02Serikali ya Burundi imetangaza kufungua mipaka ya ardhini ya nchi hiyo na jirani yake Rwanda, baada ya kufungwa kwa kipindi cha miaka mitano.
-
Rais wa Burundi amtimua Waziri Mkuu kufuatia tetesi za mpango wa mapinduzi
Sep 07, 2022 12:39Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye amemfuta kazi waziri mkuu wake, Alain Guillaume Bunyoni baada ya kuonya kuhusu njama ya "mapinduzi" dhidi yake.
-
Burundi yatuma wanajeshi DRC kufuatia uamuzi wa EAC
Aug 17, 2022 12:13Burundi imekuwa nchi ya kwanza kutuma wanajeshi wake katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kufuatia uamuzi wa karibuni hivi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wa kutuma kikosi cha pamoja cha kieneo katika nchi hiyo ili kwenda kupambana na magenge ya waasi na wanamgambo.
-
HRW yavituhumu vyombo vya dola Burundi kwa ukiukaji wa haki za binadamu
May 19, 2022 12:40Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch, limesema maafisa wa usalama nchini Burundi wamehusika na dhulma dhidi ya raia wanaoshukiwa kuegemea upande wa upinzani, au kushirikiana na makundi ya watu wenye silaha.
-
Burundi: Uhusiano na Rwanda utaimarika zaidi ikitukabidhi wahusika wa jaribio la mapinduzi
May 15, 2022 08:06Rais Evariste Ndayishimiye wa Burundi, amesema uhusiano wa nchi yake na Rwanda utakuwa mzuri zaidi iwapo watu waliopanga na kufadhili jaribio la mapinduzi ya kijeshi ya 2015 wanaodhaniwa kuwa wako mafichoni jijini Kigali watarejeshwa mjini Gitega kufunguliwa mashtaka.
-
Wanajeshi wa Burundi 'waonekana' mashariki mwa Kongo DR
Jan 06, 2022 02:50Wanajeshi wa Burundi wameripotiwa kuingia katika ardhi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Rais wa Tanzania: Tutaendelea Kushirikiana na Burundi
Oct 22, 2021 14:43Tanzania imesema itaendelea kushirikiana na Burundi katika kuimarisha ulinzi katika mipaka ya nchi hizo mbili. Hayo yamesemwa na Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mazungumzo yake huko Chamwino Dodoma na Rais wa Burundi, Évariste Ndayishimiye ambaye yupo nchini humo kwa ziara ya siku tatu.
-
UN: Ukiukaji wa haki za binadamu unaendelea kufanyika nchini Burundi
Sep 18, 2021 02:31Kamisheni ya Uchunguzi ya Umoja wa Mataifa imetangaza kuwa, hali ya haki za binadamu nchini Burundi bado ni ya maafa na mbaya sana licha ya Rais wa nchi hiyo kuahidi kuwa ataboresha hali hiyo.
-
EU kuiondolea Burundi vikwazo, mchakato umeanza
Jun 23, 2021 02:26Umoja wa Ulaya umeanzisha mchakato wa kuiondolea Burundi vikwazo ambavyo vilifunga kabisa mlango wa kupewa misaada serikali ya Bujumbura.
-
Waislamu Burundi wamjia juu waziri aliyeivunjiwa heshima adhana
Jun 10, 2021 13:17Waislamu Nchini Burundi wamemkosoa vikali waziri mmoja nchini humo kwa kuivunjia heshima Adhana, ambao ni mwito kwa Waislamu kwenda kutekeleza ibada ya Swala, moja ya nguzo muhimu za dini hiyo tukufu.