-
Kenya na Burundi zakubaliana kuimarisha uhusiano wa pande mbili
Jun 01, 2021 08:18Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na mwenzake wa Burundi, Evariste Ndayishimiye wamesaini mapatano ya kuimarisha uhusiano na ushirikiano wa Nairobi na Bujumbura katika nyuga mbalimbali.
-
Tanzania kuisaidia Burundi kujiunga na jumuiya ya SADC
Mar 06, 2021 08:16Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, Profesa Palamagamba Kabudi ameiahidi nchi ya Burundi kuwa Tanzania itashirikiana nayo katika harakati zake za kuomba kujiunga na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).
-
Hatimaye Jumuiya ya Waislamu Burundi yapata kiongozi mpya + SAUTI
Feb 08, 2021 16:00Jumuia ya Waislamu nchini Burundi (COMIBU) hatimaye imepata kiongozi mpya baada ya kubakia wazi kwa muda wa miezi 5. Kiongozi huyo mpya Sheikh Hassan Nyamweru aliyeshinda uchaguzi kwa asilimia 84 ya kura dhidi ya mpinzani wake Sheikh Salum Nayabagabo aliyepata kura 32. Amida ISSA na maelezo zaidi kutoka Bujumbura.
-
Askari mwingine wa UN raia wa Burundi auawa CAR, wawili wajeruhiwa
Jan 16, 2021 13:20Askari mwingine wa Umoja wa Mataifa kutoka Burundi ameuawa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR na wengine wawili wamejeruhiwa, kitendo ambacho kimelaaniwa vikali na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres.
-
Burundi yataka kufungwa ofisi ya mjumbe maalumu wa UN nchini humo
Nov 21, 2020 02:44Serikali ya Burundi imesema haikaribishi tena kuwepo na Ofisi ya Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini humo, na kwamba taifa hilo lina amani baada ya kushuhudia mgogoro wa kisiasa kwa miaka kadhaa.
-
Jeshi la Rwanda lakamata wanamgambo 19 wa Burundi mpakani
Oct 04, 2020 07:35Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF) limewatia mbaroni wanamgambo 19 wa Burundi waliokuwa wamejizatiti kwa silaha katika mpaka wa nchi mbili hizo jirani.
-
Kundi la kwanza la wakimbizi wa Burundi larejea nyumbani kutoka Rwanda
Aug 28, 2020 02:23Mamia ya wakimbizi raia wa Burundi walioko nchini Rwanda wameanza kurejea nchini kwao, miaka mitano baada ya kukimbia mapigano na ghasia za kisiasa.
-
Watu 15 wauawa katika shambulizi la wabeba silaha Burundi
Aug 25, 2020 03:38Kwa akali watu 15 wameuawa baada ya watu waliojizatiti kwa silaha kushambulia wakazi wa eneo moja huko kusini mwa Burundi.
-
Burundi yabadili sera, yaanza upimaji COVID-19 mjini Bujumbura
Jul 08, 2020 02:55Serikali ya Burundi imezindua operesheni ya upimaji mkubwa wa maambukizi ya COVID-19 katika mji mkuu wa kibiashara wa nchi hiyo Bujumbura.
-
Baraza jipya la Mawaziri lala kiapo nchini Burundi + Sauti
Jul 01, 2020 07:42Baraza jipya la mawaziri wa serikali ya Burundi lilikula kiapo jana Jumanne mbele ya rais na mabaraza ya bunge na seneti. Chama kikuu cha upinzani cha CNL hakijashirikishwa katika serikali hiyo. Hamida Issa na malezo zaidi kutoka Bujumbura na maelezo zaidi.