Baraza jipya la Mawaziri lala kiapo nchini Burundi + Sauti
Jul 01, 2020 07:42 UTC
Baraza jipya la mawaziri wa serikali ya Burundi lilikula kiapo jana Jumanne mbele ya rais na mabaraza ya bunge na seneti. Chama kikuu cha upinzani cha CNL hakijashirikishwa katika serikali hiyo. Hamida Issa na malezo zaidi kutoka Bujumbura na maelezo zaidi.
Tags