Mazungumzo ya Burundi kuanza Jumanne mjini Arusha Tanzania + Sauti
Nov 27, 2017 14:39 UTC
Mazungumzo ya kusaka amani nchini Burundi yataanza Jumanne wiki hii mjini Arusha Tanzania chini ya upatanishi wa Rais Mstaafu wa Tanzania Benjamini Mkapa. Hata hivyo kumekuwa na misimamo tafauti huku baadhi wakiunga mkono mazungumzo hayo; na wengine wakisema majadiliano hayo hayana umuhimu. Mwandishi wetu wa Bujumbura Hamida Issa ametutumia ripoti ifuatayo.
Tags