-
Trump anataraji kuambulia nini katika safari yake ya Asia?
Oct 27, 2025 07:56Rais wa Marekani Donald Trump amewasili kwenye eneo la kusini-mashariki mwa Asia kwa ziara ya siku tano.
-
China, Iran na Russia zathibitisha; Muda wa Azimio Nambari 2231 umemalizika
Oct 19, 2025 06:39Iran, China na Russia zimemwandikia barua ya pamoja Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, kuthibitisha kumalizika muda wa Azimio Nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC) kuhusu mpango wa amani wa nishati ya nyuklia wa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Kwa nini mwenendo wa kukabiliana na sarafu ya dola umeshika kasi duniani?
Oct 14, 2025 02:36Hisa ya sarafu ya Yuan ya China katika malipo ya biashara na upokeaji imefikia takriban 53%, na kuipita hisa ya dola ya 47%. Mabadiliko haya ya kihistoria yanakuja katika hali ambayo mwaka 2010 hisa ya Yuan katika biashara ya nje ya China takribani ilikuwa sifuri.
-
China: Tutachukua hatua muhimu kujibu vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran
Oct 11, 2025 02:32Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China amesisitiza kuwa nchi yake itachukua hatua "muhimu" ili kulinda haki halali za makampuni na raia wa China katika kukabiliana na vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran.
-
"Akili Mnemba na Ushindani wa Kimataifa", Mpango Mkuu wa AI wa Marekani na Umuhimu Wake wa Kimkakati Kimataifa, Sept 25
Oct 07, 2025 05:48Kipindi hiki kinahusu mpango mkuu wa AI wa Marekani, matumizi yake ya kijeshi, vyombo vya habari, uwekezaji, umuhimu wa kielimu na ushindani wa kimataifa.
-
Kwa nini China inaamini kujitoa Marekani katika JCPOA ndio chanzo cha mgogoro wa sasa kuhusu kadhia ya nyuklia ya Iran?
Oct 06, 2025 06:13China imetangaza kuwa, kujitoa Marekani katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ndio chanzo cha mgogoro unaoshuhudiwa hivi sasa kuhusiana na kadhia ya nyuklia ya Iran.
-
Pezeshkian: Iran inatoa kipaumbele kuimarisha uhusiano na China
Oct 01, 2025 12:37Rais Masoud Pezeshkian wa Iran katika ujumbe wake kwa mwenzake wa China, Xi Jinping, amesisitiza kuwa Tehran inatoa kipaumbele kwa suala la kuimarisha ushirikiano wa kimkakati na wa kina na Beijing.
-
Ripoti: Jeshi la China lafanyia majaribio mifumo ya nyuklia ya mashambulizi mtawalia
Sep 30, 2025 02:29Watafiti wa kijeshi wa China wamefanya majaribio ya ulipuaji wa nyuklia mtawalia ili kuunda nguvu kubwa zaidi ya uharibifu.
-
Waziri wa zamani wa Kilimo wa China ahukumiwa kifo kwa ufisadi wa kupokea rushwa
Sep 29, 2025 10:43Mahakama nchini China imemhukumu adhabu ya kifo aliyekuwa waziri wa kilimo wa nchi hiyo baada ya kumpata na hatia ya ufisadi wa kupokea rushwa.
-
China haina wasiwasi, bali inashangaa; mbona Marekani inang'ang'ania kurejea Afghanistan?
Sep 29, 2025 07:32China imetangaza kwamba, njama za madola yaliyosababisha mgogoro wa Afghanistan za kujaribu kurejea nchini humo na kuweka kambi zao za kijeshi ni hatari kwa usalama wa ukanda mzima.