-
Waziri wa zamani wa Kilimo wa China ahukumiwa kifo kwa ufisadi wa kupokea rushwa
Sep 29, 2025 10:43Mahakama nchini China imemhukumu adhabu ya kifo aliyekuwa waziri wa kilimo wa nchi hiyo baada ya kumpata na hatia ya ufisadi wa kupokea rushwa.
-
China haina wasiwasi, bali inashangaa; mbona Marekani inang'ang'ania kurejea Afghanistan?
Sep 29, 2025 07:32China imetangaza kwamba, njama za madola yaliyosababisha mgogoro wa Afghanistan za kujaribu kurejea nchini humo na kuweka kambi zao za kijeshi ni hatari kwa usalama wa ukanda mzima.
-
Trump azishambulia China na India kwa kuziita 'wafadhili wakuu' wa vita vya Ukraine
Sep 25, 2025 04:12Rais wa Marekani Donald Trump amezituhumu India na China kuwa "zinafadhili kifedha" vita vya Ukraine kupitia uagizaji wa nishati kutoka Russia. Trump ametoa shutuma hizo katika hotuba yake kwenye Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa unaoendelea mjini New York.
-
Je, China imejibu vipi tuhuma za Trump?
Sep 07, 2025 06:49Ikiwa ni katika kujibu madai ya Trump, China imetangaza kwamba kupanua ushirikiano wake na nchi nyingine sio tishio kwa nchi yoyote ya tatu.
-
Hasira za nchi za Magharibi kuhusu Mkutano wa Shanghai na mjumuiko wa madola yanayoibukia
Sep 06, 2025 12:02Viongozi wa Marekani na Umoja wa Ulaya wamekasirishwa na mkutano wa kilele wa Shanghai na mkusanyiko wa nchi hasimu za Magharibi
-
Nadharia ya ulimwengu wa kambi kadhaa; mwelekeo huu utaimarishwa katika Mkutano wa Shanghai?
Sep 01, 2025 02:35Mkutano wa kilele wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) unaohudhuriwa na viongozi kutoka zaidi ya nchi 20 ulianza jana Jumapili katika mji wa Tianjin wa China.
-
Kwa nini doria ya kwanza ya pamoja ya nyambizi za Russia na China ni muhimu?
Aug 30, 2025 02:31Doria ya pamoja ya nyambizi za Russia na China imefanyika kwa mara ya kwanza katika eneo la Asia-Pasifiki.
-
Russia na China zasimama na Iran dhidi ya E3 kwa kutumia vibaya azimio la UN
Aug 29, 2025 07:38Russia na China zimechukua hatua kukabiliana na mpango wa nchi tatu zinazounda Troika ya Ulaya, E3, na kusambaza rasimu ya azimio katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linalopendekeza "urefushaji wa kiufundi" kwa muda wa miezi sita utekelezaji wa Azimio 2231 la baraza hilo.
-
Mawaziri wa kizayuni watoa msimamo kuhusu Ghaza: "Wazingireni, waacheni wafe kwa njaa"
Aug 25, 2025 06:38Mawaziri wa utawala wa kizayuni wa Israel wenye misimamo mikali ya chuki wametetea waziwazi hatua ya kuwatesa kwa njaa Wapalestina wa Ukanda wa Ghaza.
-
Ripota wa UN: HAMAS ni taasisi ya kisiasa iliyochaguliwa kupitia uchaguzi, si genge la wauaji
Aug 19, 2025 06:35Francesca Albanese, Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu, amesisitiza kwamba Hamas inapasa itambuliwe kama harakati halali ya kisiasa badala ya kundi la wauaji.