Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

China

  • Kwa nini China na Russia zimepinga azimio lililopendekezwa na Marekani kuhusu Gaza?

    Kwa nini China na Russia zimepinga azimio lililopendekezwa na Marekani kuhusu Gaza?

    Nov 15, 2025 22:56

    Russia na China ambazo ni wanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa zimetaka kufutwa kikamilifu "Tume ya Amani" kwenye matini ya rasimu iliyowasilishwa na Marekani kwenye baraza kuhusu Gaza.

  • Kwa nini China inakosoa hatua za Marekani huko Yemen?

    Kwa nini China inakosoa hatua za Marekani huko Yemen?

    Nov 09, 2025 22:52

    Sun Lei, naibu mwakilishi wa China katika Umoja wa Mataifa amepinga madai ya mwenzake wa Marekani katika kikao cha Baraza la Usalama na kusisitiza kuwa: Washington imekiuka sheria za kimataifa kwa kuchukua hatua za kijeshi dhidi ya Yemen na kusababisha mateso kwa raia.

  • Trump anataraji kuambulia nini katika safari yake ya Asia?

    Trump anataraji kuambulia nini katika safari yake ya Asia?

    Oct 27, 2025 04:26

    Rais wa Marekani Donald Trump amewasili kwenye eneo la kusini-mashariki mwa Asia kwa ziara ya siku tano.

  • China, Iran na Russia zathibitisha; Muda wa Azimio Nambari 2231 umemalizika

    China, Iran na Russia zathibitisha; Muda wa Azimio Nambari 2231 umemalizika

    Oct 19, 2025 03:09

    Iran, China na Russia zimemwandikia barua ya pamoja Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, kuthibitisha kumalizika muda wa Azimio Nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC) kuhusu mpango wa amani wa nishati ya nyuklia wa Jamhuri ya Kiislamu.

  • Kwa nini mwenendo wa kukabiliana na sarafu ya dola umeshika kasi duniani?

    Kwa nini mwenendo wa kukabiliana na sarafu ya dola umeshika kasi duniani?

    Oct 13, 2025 23:06

    Hisa ya sarafu ya Yuan ya China katika malipo ya biashara na upokeaji imefikia takriban 53%, na kuipita hisa ya dola ya 47%. Mabadiliko haya ya kihistoria yanakuja katika hali ambayo mwaka 2010 hisa ya Yuan katika biashara ya nje ya China takribani ilikuwa sifuri.

  • China: Tutachukua hatua muhimu kujibu vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran

    China: Tutachukua hatua muhimu kujibu vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran

    Oct 10, 2025 23:02

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China amesisitiza kuwa nchi yake itachukua hatua "muhimu" ili kulinda haki halali za makampuni na raia wa China katika kukabiliana na vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran.

  • "Akili Mnemba na Ushindani wa Kimataifa", Mpango Mkuu wa AI wa Marekani na Umuhimu Wake wa Kimkakati Kimataifa, Sept 25

    Oct 07, 2025 02:18

    Kipindi hiki kinahusu mpango mkuu wa AI wa Marekani, matumizi yake ya kijeshi, vyombo vya habari, uwekezaji, umuhimu wa kielimu na ushindani wa kimataifa.

  • Kwa nini China inaamini kujitoa Marekani katika JCPOA ndio chanzo cha mgogoro wa sasa kuhusu kadhia ya nyuklia ya Iran?

    Kwa nini China inaamini kujitoa Marekani katika JCPOA ndio chanzo cha mgogoro wa sasa kuhusu kadhia ya nyuklia ya Iran?

    Oct 06, 2025 02:43

    China imetangaza kuwa, kujitoa Marekani katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ndio chanzo cha mgogoro unaoshuhudiwa hivi sasa kuhusiana na kadhia ya nyuklia ya Iran.

  • Pezeshkian: Iran inatoa kipaumbele kuimarisha uhusiano na China

    Pezeshkian: Iran inatoa kipaumbele kuimarisha uhusiano na China

    Oct 01, 2025 09:07

    Rais Masoud Pezeshkian wa Iran katika ujumbe wake kwa mwenzake wa China, Xi Jinping, amesisitiza kuwa Tehran inatoa kipaumbele kwa suala la kuimarisha ushirikiano wa kimkakati na wa kina na Beijing.

  • Ripoti: Jeshi la China lafanyia majaribio mifumo ya nyuklia ya mashambulizi mtawalia

    Ripoti: Jeshi la China lafanyia majaribio mifumo ya nyuklia ya mashambulizi mtawalia

    Sep 29, 2025 22:59

    Watafiti wa kijeshi wa China wamefanya majaribio ya ulipuaji wa nyuklia mtawalia ili kuunda nguvu kubwa zaidi ya uharibifu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS