Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

China

  • China yapinga kutimuliwa Russia katika jumuiya ya nchi zinazounda G20

    China yapinga kutimuliwa Russia katika jumuiya ya nchi zinazounda G20

    Nov 15, 2022 21:33

    Waziri wa mambo ya nje wa China amesema anaunga mkono mchango wa Russia katika G20 na akasisitiza kuwa hakuna mtu yeyote mwenye haki ya kuinyima Moscow nafasi ya kushiriki katika jumuiya za pande kadhaa.

  • Afisa wa jeshi la Marekani: Karibuni hivi tutaingia kwenye mapigano ya muda mrefu na China

    Afisa wa jeshi la Marekani: Karibuni hivi tutaingia kwenye mapigano ya muda mrefu na China

    Nov 08, 2022 03:48

    Afisa mwandamizi wa jeshi la Marekani amesema karibuni hivi nchi hiyo itaingia kwenye mzozo na makabiliano ya muda mrefu na China na akatahadharisha juu ya kile alichoeleza kuwa ni kubaki nyuma Washington katika uwezo wa kijeshi mkabala na Beijing.

  • China, Russia zapinga mkutano usio rasmi wa Baraza la Usalama la UN dhidi ya Iran

    China, Russia zapinga mkutano usio rasmi wa Baraza la Usalama la UN dhidi ya Iran

    Nov 03, 2022 22:52

    China na Russia zimelaani kuitishwa mkutano wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran. Wawakilishi wa China na Russia wamelaani kitendo cha Marekani na Albania cha kufanya mkutano usio rasmi wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu eti matukio ya Iran.

  • Kubakia Xi Jinping kama  mkuu wa chama tawala cha China

    Kubakia Xi Jinping kama mkuu wa chama tawala cha China

    Oct 24, 2022 07:50

    Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) kimemchagua Xi Jinping kuendelea kuwa katibu wake mkuu kwa muhula wa tatu katika kikao kilichomalizika Jumamosi na hivyo kumuidhinisha kuendelea kuwa rais wa China.

  • China yapinga vikwazo haramu na vya upande mmoja vya EU dhidi ya Iran

    China yapinga vikwazo haramu na vya upande mmoja vya EU dhidi ya Iran

    Oct 24, 2022 00:31

    China imepinga na kukosoa vikali hatua ya Umoja wa Ulaya ya kuiwekea Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vikwazo ilivyovitaja kuwa haramu na vya upande mmoja.

  • Kukiri Borrell juu ya mwisho wa udhibiti wa Marekani na nafasi isiyokuwa athirifu ya Ulaya duniani

    Kukiri Borrell juu ya mwisho wa udhibiti wa Marekani na nafasi isiyokuwa athirifu ya Ulaya duniani

    Oct 22, 2022 07:41

    Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya, Josep Borrell amekiri katika mahojiano yake siku ya Alhamisi iliyopita kwamba tunaishi katika ulimwengu wa kambi kadhaa na kwamba kipindi cha udhibiti wa upande mmoja wa Marekani kimefikia tamati.

  • Sisitizo la Rais wa China la kupinga mabavu na hatua za kupenda kujitanua

    Sisitizo la Rais wa China la kupinga mabavu na hatua za kupenda kujitanua

    Oct 17, 2022 22:40

    Rais wa China amesisitiza katika hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wa 20 wa Chama tawala cha Kikomonisti cha nchi hiyo kwamba nchi yake kamwe haina lengo la kutekeleza hatua za kibeberu na kupenda kujitanua kimataifa.

  • Raisi: Iran iko tayari kuimarisha uhusiano na China katika kila uga

    Raisi: Iran iko tayari kuimarisha uhusiano na China katika kila uga

    Oct 01, 2022 08:35

    Rais Ebrahim Raisi wa Iran ametoa mwito wa kuimarishwa uhusiano wa pande mbili wa Jamhuri ya Kiislamu na China katika nyuga tofauti.

  • Russia na  China zinataka kuachiliwa fedha za Afghanistan zilizozuiwa

    Russia na China zinataka kuachiliwa fedha za Afghanistan zilizozuiwa

    Sep 29, 2022 04:23

    Wawakilishi wa Russia na China wametaka kuachiwa huru fedha zote za Afghanistan zilizozuiwa. Wamebainisha hayo katika kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

  • Ukosoaji wa China kwa vikwazo vya Marekani vinavyosababisha masaibu kwa nusu ya watu wote duniani

    Ukosoaji wa China kwa vikwazo vya Marekani vinavyosababisha masaibu kwa nusu ya watu wote duniani

    Sep 28, 2022 22:56

    Wizara ya Mambo ya Nje ya China imeikosoa Marekani kwa kutekeleza sera ya vikwazo na kusababisha matatizo na masaibu kwa nusu ya watu wote duniani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS