-
Mazoezi makubwa ya kijeshi ya Russia, China, India; ishara ya kufeli Magharibi kuitenga Russia
Sep 02, 2022 23:56Licha ya shinikizo la Marekani kwa nchi nyingine kwa ajili ya kuitenga Russia kutokana na vita vya Ukraine, Moscow imeandaa mazoezi makubwa ya kijeshi ya nchi kavu, anga na baharini kwa kuzishirikisha nchi nyingine 13.
-
Beijing: Mauzo ya silaha za US kwa Taiwan yanakiuka sera ya 'China Moja'
Aug 30, 2022 21:50China imekosoa vikali mpango mpya wa serikali ya Marekani wa kuiuzia Taiwan silaha zenye thamani ya dola bilioni 1.1, ikisisitiza kuwa mawasiliano yoyote ya kijeshi na Taipei ni ukiukaji wa kanuni ya "China Moja".
-
Onyo la China kwa Canada kuhusu safari ya wabunge wake Taiwan
Aug 25, 2022 21:55China imeionya vikali Canada na kusisitiza kuwa itachukua hatua madhubuti na za nguvu iwapo wabunge wa Canada watafanya safari ya kuitembelea Taiwan karibuni hivi.
-
Kiwewe cha Marekani kwa kuzidi kuongezeka nguvu za China
Aug 19, 2022 22:11Marekani ambayo imeingia kiwewe kutokana na kuzidi kuongezeka nguvu za China, imeahidi kuchukua hatua za kukabiliana na Beijing katika kipindi cha wiki na miezi ijayo karibu na kisiwa cha Taiwan, kwa tamaa ya kupunguza kasi ya nguvu za kijeshi na kiuchumi za China.
-
China: Uhuru wa Taiwan maana yake ni vita
Aug 18, 2022 23:34Balozi wa China mjini London ameonya kuwa, uingiliaji wa mambo unaofanywa na Uingereza na Marekani juu ya suala la Taiwan hautakuwa na matokeo mengine ghairi ya vita.
-
Kissinger: US ipo katika ncha ya kuingia vitani na Russia, China
Aug 14, 2022 02:48Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amesema Washington imepuuza diplomasia, na kutukuwepo kiongozi thabiti, dunia inajongelewa na vita kutokana na mizozo ya Ukraine na Taiwan.
-
Bloomberg: China ina uwezo wa kuteketeza kwa muda mfupi ndege 900 za kivita za Marekani
Aug 12, 2022 21:01Jarida la Bloomberg linalochapishwa Marekani limeandika kuwa, endapo vitazuka vita baina ya Marekani na China kwa sababu ya Taiwan, Wachina wataweza kwa muda mfupi kuziangamiza ndege za kivita 900 za Marekani, yaani nusu ya uwezo wote wa kikosi cha anga cha nchi hiyo.
-
China: Vikwazo vya US vimeisababishia Iran hasara ya dola bilioni 200
Aug 12, 2022 21:00China imesema vikwazo haramu na vya upande mmoja vya Marekani dhidi ya Iran vimelisababishia taifa hili la Kiislamu hasara ya mabilioni ya dola.
-
Onyo la jeshi la China kwa chokochoko za Taiwan
Aug 12, 2022 02:06Jeshi la China limekionya kisiwa cha Taiwan dhidi ya kuendeleza chokochoko katika eneo hilo la kistratijia.
-
China: Marekani inataka vita vya Ukraine vichukue muda mrefu bila ya kumalizika
Aug 11, 2022 21:57Balozi wa China nchini Russia amesema kuwa, hatua ya Marekani ya kuendelea kumimina silaha huko Ukraine ni ushahidi tosha unaothibitisha kuwa hamu ya Washington ni kuona vita vya Ukraine vinachukua muda mrefu bila ya kumalizika.