Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

China

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani yuko katika duru nyingine ya safari barani Ulaya

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani yuko katika duru nyingine ya safari barani Ulaya

    Aug 13, 2020 02:09

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo ameanza duru mpya ya safari barani Ulaya baada ya safari nyingine wiki tatu zilizopita. Mara hii Pompeo anatembelea nchi nne za Ulaya ya Kati na Mashariki.

  • Marekani yalegeza msimamo kuhusu kurefushwa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran

    Marekani yalegeza msimamo kuhusu kurefushwa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran

    Aug 12, 2020 23:00

    Juhudi za Marekani za kutaka vikwazo vya silaha dhidi ya Iran virefushwe katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa zimekabiliwa na changamoto kubwa.

  • Safari ya waziri wa Marekani Taiwan; kuongezeka mvutano kati ya China na Marekani

    Safari ya waziri wa Marekani Taiwan; kuongezeka mvutano kati ya China na Marekani

    Aug 10, 2020 06:31

    Licha ya upinzani mkali wa China, Waziri wa Afya na Huduma za Kibinadamu wa Marekani jana Jumapili alifanya safari huko Taiwan akiwa ameandamana na ujumbe wa ngazi za juu wa nchi hiyo.

  • China: Misimamo ya kisiasa iepukwe katika kukabiliana na ugaidi

    China: Misimamo ya kisiasa iepukwe katika kukabiliana na ugaidi

    Aug 07, 2020 02:32

    Mwakilishi wa kudumu wa China katika Umoja wa Mataifa ametilia mkazo udharura wa kuwekwa kando mienendo ya kindumakuwili na misimamo ya kisiasa katika kupambana na ugaidi.

  • China; Changamoto kubwa zaidi inayoikereketa Marekani

    China; Changamoto kubwa zaidi inayoikereketa Marekani

    Aug 06, 2020 21:53

    Waziri wa Mambo ya Nje wa China amekosoa kwa mara nyingine kuwepo kwa jeshi la Marekani katika Bahari ya China Kusini.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa China: Marekani ni mwangamizi mkubwa kabisa wa nidhamu ya kimataifa

    Waziri wa Mambo ya Nje wa China: Marekani ni mwangamizi mkubwa kabisa wa nidhamu ya kimataifa

    Jul 29, 2020 22:04

    Waziri wa Mambo ya Nje wa China amesema, serikali ya Marekani ni mwangamizi mkubwa kabisa wa nidhamu ya kimataifa.

  • Vikwazo  vya Umoja wa Ulaya dhidi ya China, siasa za kundumakuwili za Brussels

    Vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya China, siasa za kundumakuwili za Brussels

    Jul 29, 2020 22:03

    Ikiwa ni katika kudumishwa siasa za mashinikizo za nchi za Magharibi dhidi ya China, Umoja wa Ulaya kama ilivyofanya Marekani, umeiwekea vikwazo Beijing kwa kisingizio cha kutoheshimu haki za binadamu.

  • Tukio la kushushwa bendera ya Marekani katika majengo ya ubalozi mdogo wa nchi hiyo katika mji wa Chengdu

    Tukio la kushushwa bendera ya Marekani katika majengo ya ubalozi mdogo wa nchi hiyo katika mji wa Chengdu

    Jul 29, 2020 01:30

    Vyombo vya habari vya China juzi viliripoti kuwa bendera ya Marekani imeshushwa na kuondolewa katika majengo ya ubalozi mdogo wa nchi hiyo katika mji wa Chengdu.

  • Misikiti yafunguliwa tena Beijing baada ya kufungwa kwa miezi sita kutokana na janga la corona

    Misikiti yafunguliwa tena Beijing baada ya kufungwa kwa miezi sita kutokana na janga la corona

    Jul 28, 2020 02:31

    Misikiti ya mji mkuu wa China, Beijing imefunguliwa tena baada ya kufungwa kwa kipindi cha miezi sita kutokana na maambukizi ya virusi vya corona.

  • Pompeo adai kampuni ya Huawei ya China inakiuka haki za binadamu

    Pompeo adai kampuni ya Huawei ya China inakiuka haki za binadamu

    Jul 28, 2020 00:13

    Katika kuendelea prppaganda chafu za Washington dhidi ya Beijing, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani amedai kuwa kampuni kubwa ya China ya Huawei inakiuka haki za binadamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS