-
Joseph Borrell akiri kumalizika zama za uongozi wa Marekani duniani
May 26, 2020 23:28Kuingia madarakani Rais Donald Trump wa Marekani huko White House mnamo tarehe 20 Januari 2017 kulifungua ukurasa mpya wa siasa za upande mmoja za nchi hiyo duniani.
-
Umoja wa Ulaya: Tumo katika kushuhudia kusambaratika nguvu za Marekani duniani
May 25, 2020 22:26Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amegusia kumalizika zama za udhibiti wa kila kitu wa Marekani duniani na ameutaka Umoja wa Ulaya kubuni mikakati na stratijia mpya na makini za kuamiliana na China.
-
China yapinga kulipa hasara kwa sababu ya kuenea virusi vya Corona
May 25, 2020 02:20Waziri wa Mambo ya Nje wa China amejibu matamshi ya viongozi wa Marekani kwamba serikali ya Beijing inatakiwa kulipa hasara inayotokana na kuenea virusi vya Corona na kusisitiza kuwa, kupata fidia kutoka China ni 'njozi batili.'
-
China: Dawa mpya tuliyotengeza ina uwezo wa kuzima janga la corona 'bila kuhitaji chanjo'
May 19, 2020 10:56Maabara moja nchini China ambayo imekuwa ikitengeza dawa ya kutibu maradhi ya Covid-19 yanayosababishwa na virusi vya corona imesema, inaamini dawa hiyo iliyotengeza ina uwezo wa kuzima janga la maradhi hayo liliyoikumba dunia nzima bila kuhitaji chanjo.
-
Kukiri John Bolton juu ya kugonga mwamba siasa za Marekani dhidi ya Venezuela
May 19, 2020 05:54Vikwazo na mashinikizo ya Marekani dhidi ya Venezuela yanaendelea katika hali ambayo, kivitendo nchi hiyo ya Amerika ya Latini ikipata msaada wa mataifa kama Iran, China na Russia imefanikiwa kuyapatia ufumbuzi akthari ya matatizo yaliyosababishwa na vikwazo vya Washington.
-
Trump atishia kujiondoa WHO, asema shirika hilo ni kikaragosi cha China
May 19, 2020 03:09Rais Donald Trump wa Marekani ametishia kuiondoa Marekani kwenye Shirika la Afya Duniani WHO, akidai kuwa taasisi hiyo ya kimataifa ni kikaragosi cha China.
-
China yatia shaka kuhusu sababu ya kifo cha balozi wake huko Israel
May 18, 2020 21:55Gazeti moja la China limeandika kwamba, kifo cha balozi wa nchi hiyo katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) kilitokea baada ya yeye kukosoa siasa chafu za kupenda kujitanua za Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Mike Pompeo.
-
Indhari ya António Guterres juu ya taathira hasi ya tofauti za China na Marekani kwenye juhudi za kukabiliana na Corona
May 17, 2020 20:02Kuenea kwa virusi vya Corona duniani bado kumewafanya watu kuwa wahanga, huku hofu yake ikibainisha kwamba janga hilo litazizidishia matatizo ya kiuchumi na kijamii nchi nyingi za dunia.
-
Pentagon ina wasiwasi Marekani itashindwa endapo itaingia vitani na China
May 17, 2020 03:31Baadhi ya duru katika Wizara ya Ulinzi ya Marekani Pentagon zimeonya kuwa kutokana na mazoezi ya karibuni kabisa yaliyofanywa na jeshi la nchi hiyo, endapo jeshi hilo litaingia vitani na China katika Bahari ya Mediterania litashindwa katika vita hivyo.
-
Vitisho vikubwa vya Trump kwa China; upayukaji au kampeni za uchaguzi?
May 16, 2020 02:05Tangu alipoingia madarkani Donald Trump huko Marekani, rais huyo mwenye majigambo mengi amekuwa akifuata siasa maalumu dhidi ya China na kuishinikiza Beijing katika pande mbalimbali.