-
China yakosoa uamuzi wa kivamizi wa utawala haramu wa Kizayuni
Apr 30, 2020 06:45Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China amekosoa vikali njama chafu za utawala haramu wa Kizayuni za kutaka kuyaunganisha maeneo ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
China yarudisha mapigo, yasema Marekani inasema uongo ili kuficha utendaji wake mbaya kuhusiana na corona
Apr 28, 2020 20:19China imeituhumu Marekani kwamba inamtafuta "mbuzi wa kafara" wa kumtwisha lamawa za kufeli kwa serikali ya Washington na utendaji wake mbaya katika kupambana na maambukizi ya virusi vya corona nchini humo.
-
Rouhani: Uingiliaji mambo wa Marekani unahatarisha usalama na uthabiti wa eneo
Apr 28, 2020 02:50Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hatua ya Marekani ya kuingilia masuala ya ndani ya nchi za Asia Magharibi imevuruga usalama na uthabiti katika eneo hili.
-
Marufuku ya matumizi na biashara ya wanyama wa mwituni yapigwa marufuku mjini Beijing
Apr 27, 2020 12:53Manispaa ya mji wa Beijing, mji mkuu wa China na kwa lengo la kuzuia kuenea magonjwa yanayoambukiza kama vile Corona, ametangaza kupiga marufuku utumiaji wa nyama za wanyama wa mwituni pamoja na biashara yake.
-
China yaishangaa Marekani kutaka kulipwa fidia ya Corona
Apr 26, 2020 03:21China imesema madai ya Marekani kwamba serikali ya Beijing ilishindwa kushughulikia ipasavyo mlipuko wa virusi vya Corona si sahihi na hayana misingi yote ya kisheria, na kwamba takwa la taifa hilo la kutaka kulipwa fidia na China kutokana na madhara ya virusi hivyo si chochote ghairi ya tamthilia ya kisiasa.
-
China yaipa WHO dola milioni 50 baada ya US kulikatia misaada shirika hilo la UN
Apr 23, 2020 22:02China imeliongeza Shirika la Afya Duniani (WHO) msaada wa dola milioni 30 za Marekani za kudhibiti mlipuko wa maambukizi ya virusi vya Corona duniani, siku chache baada ya Marekani kuikatia misaada taasisi hiyo ya Umoja wa Mataifa.
-
Mtaalamu wa Ufaransa alipua bomu, adai virusi vya corona vilitokana na jaribio la kutengeneza chanjo ya Ukimwi
Apr 18, 2020 22:07Mtazamo wa Profesa Luc Antoine Montagnier wa Ufaransa ambaye ni mmoja kati ya wavumbuzi wa virusi vya Ukimwi anayesema virusi vya corona vimetokana na makosa yaliyotokea kwenye maabara, umezusha mjadala mkubwa katika duru za wanasayansi.
-
Tuhuma nyingine za Trump dhidi ya China; jitihada za kuhalalisha kufeli kwake
Apr 18, 2020 06:27Maambukizi ya virusi vya corona na ugonjwa wa Covid-19 hivi sasa yameilenga zaidi Marekani na watu wa nchi hiyo. Pamoja na hayo yote, utendaji wa serikali ya Trump katika uwanja huo ambao umeambatana na upuuzaji, kuchelewa kuchukua hatua na rais huyo kuendelea kung'ang'ania makosa yake, yote hayo yamewakasirisha sana wananchi wa Marekani.
-
China yaitaka Marekani ikome kuituhumu kuwa ilitengeza kirusi cha corona maabarani Wuhan
Apr 16, 2020 10:01Wizara ya Mambo ya Nje ya China imeilaumu Marekani kwa kuendelea kuituhumu nchi hiyo kuwa ndiyo iliyotengeza kirusi cha corona kinachosababisha ugonjwa wa COVID-19.
-
Corona, Sudan yaomba msaada wa matibabu kutoka China
Apr 15, 2020 20:13Serikali ya Sudan imeiomba serikali ya China iisaidie nchi hiyo dawa na vifaa vya matibabu kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa COVID-19.