-
Mataifa yenye uchumi mkubwa Asia, yapinga siasa za upande mmoja za Marekani
May 03, 2019 00:07Nchi za China, Japan na Korea Kusini ambazo zinajulikana kama nchi zenye uwezo mkubwa wa kiuchumii barani Asia, zimetangaza kupinga siasa mbovu za upande mmoja za Marekani katika nyuga za kimataifa.
-
Viongozi wa dunia washiriki Kongamano la Barabara ya Hariri, China; Marekani yatengwa
Apr 27, 2019 03:08Zaidi ya viongozi 40 na wajumbe elfu tano kutoka nchi mbalimbali duniani wanakongamana katika Mkutano wa "Ukanda Mmoja na Njia Moja" katika mji mkuu wa China, Beijing uliong'oa nanga hapo jana.
-
Amri ya Trump ya kuwekwa mikataba mipya ya silaha baina ya Marekani na Russia na China
Apr 27, 2019 02:27Donald Trump ni rais wa nchi ya kibeberu ya Marekani ambaye amekuja na siasa za kudharau na kupuuza sheria na mikataba yote ya kimataifa na ajenda yake kuu ni kujitoa kwenye mikataba ya kimataifa ikiwemo ya silaha. Hivi sasa dunia imekumbwa na changamoto kubwa inayotokana na kung'ang'ania Marekani kujitoa katika mikataba ya kudhibitiu silaha.
-
China na Umoja wa Ulaya zatangaza tena kuunga mkono mapatano ya nyuklia ya JCPOA
Apr 12, 2019 10:49Mapatano ya kimataifa ya nyuklia ya Iran maarufu kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji (JCPOA) yanahesabiwa kuwa mapatano muhimu sana katika fremu ya usalama na amani ya kimataifa. Lakini pamoja na hayo, mnamo Mei 8 mwaka 2018, Marekani ilichukua uamuzi wa pande moja na kujiondoa katika mapatano hayo.
-
Kuchukua wigo wa kimataifa mgogoro wa kisiasa wa Venezuela
Apr 07, 2019 02:33Mgogoro wa kisiasa wa sasa nchini Venezuela ulianza 10 Januari mwaka huu wakati Rais Nicolas Maduro alipoapishwa baada ya kushinda katika uchaguzi wa Rais uliosusiwa na wapinzani na hivyo kuchukua usukani wa kuiongoza nchi hiyo katika duru ya pili.
-
Kushadidi mashinikizo ya Marekani dhidi ya Venezuela na kukabiliana na Russia na China
Apr 05, 2019 01:55Katika kipindi cha uongozi wa Rais Donald Trump, Marekani ikiwa na lengo la kusukuma mbele gurudumu la siasa zake huko Venezuela, imechukua hatua zenye lengo la kuiangusha serikali ya mrengo wa kushoto ya Rais Nicolas Maduro aliyechaguliwa kihalali na kwa njia ya demokrasia.
-
Ubeberu wa Marekani haubakishi mtu, sasa ni zamu ya Italia
Mar 29, 2019 00:10Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ametoa vitisho vipya dhidi ya nchi muitifaki wa Washington yaani Italia kwa kudai kuwa nchi kama Italia ambazo zinataka kujiunga na mradi wa kiuchumi wa China uliopewa jina la "Njia ya Hariri" zitambue kuwa zitapata hasara kubwa ya kisiasa.
-
Rais Bashar al-Assad: Vikwazo vya kiuchumi vya Marekani ni njia mpya ya vita dhidi ya Syria
Mar 11, 2019 04:46Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwa, vita dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu vimechukua mkondo mpya ambapo sasa vimeelekezwa katika mzingiro na vita vya kiuchumi.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Bahrain adhihakiwa kwa kujikomba kwa Bin Salman
Feb 23, 2019 12:16Waziri wa Mambo ya Nje wa Bahrain Khalid bin Ahmed Al Khalifah amedhihakiwa na kubezwa kimataifa kwa kumlinganisha mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman na Ukuta Mkubwa wa China.
-
Russia na China zamuunga mkono Rais Maduro dhidi ya njama za Marekani
Feb 23, 2019 00:15China na Russia zimetangaza uungaji mkono wao kwa Venezuela na kuonya kuhusu hatua yoyote ya kuishambulia nchi hiyo ya Amerika ya Latini ambako wapinzani wanamejiandaa kupokea vifurushi vya misaada kutoka Marekani.