Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

China

  • Iran na China, washirika wa kistratijia barani Asia

    Iran na China, washirika wa kistratijia barani Asia

    Feb 21, 2019 03:31

    Spika wa Majlisi ya Ushauri wa Kiislamu ya Iran (Bunge) na Rais wa China wamesisitiza udharura wa kupanuliwa zaidi ushirikiano wa kistratijia wa nchi hizo mbili.

  • Spika Larijani: China ni mshirika wa kuaminika wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

    Spika Larijani: China ni mshirika wa kuaminika wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

    Feb 20, 2019 11:21

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, nchi ya China ni mshirika wa kiistratejia na wa kuaminika wa Iran.

  • Bahram Qassemi: Madola ya Ulaya hayapaswi kufuatilia kukamilisha matakwa yao kutoka kwa Iran

    Bahram Qassemi: Madola ya Ulaya hayapaswi kufuatilia kukamilisha matakwa yao kutoka kwa Iran

    Feb 18, 2019 11:44

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, subira na uvumilivu wa wananchi na serikali ya Iran una mipaka na kwamba, madola ya Ulaya hayapaswi kutumia muda kwa ajili ya kufuatilia kukamilisha matakwa yao kutoka kwa Iran.

  • Uturuki yaitaka China ifunge vituo vya kuwazuilia Waislamu wa Uighur

    Uturuki yaitaka China ifunge vituo vya kuwazuilia Waislamu wa Uighur

    Feb 10, 2019 09:54

    Serikali ya Uturuki imetaja miamala ya China kwa Waislamu wa jamii ya Uighur kama fedheha kwa ubinadamu, huku ikiitaka ifunge vituo vilivyotengwa makhsusi kwa ajili ya kuwazuilia watu wa jamii hiyo ya walio wachache.

  • China yakosoa ripoti ya Marekani kuhusu shirika la WTO

    China yakosoa ripoti ya Marekani kuhusu shirika la WTO

    Feb 07, 2019 03:46

    Wizara ya Biashara ya China imekosoa ripoti iliyotolewa na Marekani kuhusu Shirika la Biashara Duniani (WTO) ambayo imeituhumu Beijing kwamba inaunga mkono misimamo na hatua za upande mmoja na kuitaja ripoti hiyo kuwa isiyo na ukweli wowote.

  • China: Marekani itabeba dhima ya chochote kitakachotokea Venezuela

    China: Marekani itabeba dhima ya chochote kitakachotokea Venezuela

    Jan 29, 2019 11:30

    China sanjari na kutangaza uungaji mkono wake kwa Rais Nicolas Maduro wa Venezuela, imesema Marekani inapaswa kubebeshwa dhima kwa jambo lolote baya litakalotokea katika nchi hiyo ya Amerika ya Latini.

  • Ripoti: Uchumi wa China kuupiku wa Marekani mwaka ujao

    Ripoti: Uchumi wa China kuupiku wa Marekani mwaka ujao

    Jan 17, 2019 04:18

    Ripoti ya Benki ya Standard Chartered imedokeza kuwa, kuna uwezekano mkubwa China kuipiku Marekani na kuwa nchi yenye uchumi mkubwa zaidi duniani mwaka ujao wa 2020.

  • China yapasisha

    China yapasisha "kukomunistishwa" utamaduni wa Kiislamu

    Jan 07, 2019 23:07

    Serikali ya China imepasisha sheria ya kuoanisha utamaduni wa Kiislamu na mafundisho ya kikomunisti.

  • Sisitizo la Rais Xi Jinping wa China juu ya utayarifu wa jeshi la nchi yake kwa ajili ya vita

    Sisitizo la Rais Xi Jinping wa China juu ya utayarifu wa jeshi la nchi yake kwa ajili ya vita

    Jan 07, 2019 00:53

    Rais Xi Jinping wa China amelitaka jeshi la nchi yake kujiweka tayari kwa ajili ya kukabiliana na nchi ambayo hajaitaja.

  • China yafanyia majaribio

    China yafanyia majaribio "Mama wa Mabomu Yote"

    Jan 05, 2019 23:07

    Kampuni ya kutengeneza asilaha ya China imefanya majaribio ya mafaniko ya kombora lenye nguvu zaidi lisilo la nyuklia lililopewa jina la "Mama wa Mabomu Yote".

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS